ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali haigawi pesa,sema wewe huyaoni usijumuishe na wanaojituma nyie wapiga domo hamtakiwi kuona hata mia š¤£š¤£Kwenye akaunti zenu kuna mlima wa hela na uchumi mzuri
Lakini sisi wenye nchi hayo madubwasha hatuyaoni. Hebu tupatieni tochi tutafute hizo margins za ukuaji uchumi
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1714271198060695910?t=hjTFWlNOBMO4kDX8SM3xkQ&s=19