Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.

Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani

Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu

Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Kwa hiyo hao uliowanakili ndiyo hao wapuuzi wanaolizamisha Taifa letu bila soni wala aibu?
 
huku walikata ijumaa, jmosi ukawaka, wakakata jpili, j3 ukawaka
leo wamekata asubuhi, wakarudisha saa 7
wamekata tena mda huu swafi kabisa
Napenda sana nikisikia ulalamishi wa nyie nyumbu Kwa sababu mshaambiwa Kuna upungufu wa megawatt 300 plus sababu ya ukame na umeme utatengamaa baada ya miezi 6 yet mnalalamika kama Watoto wadogo wasiojitambua.

Kazanenj kulalamika au Hameni Nchi.
 
Ndio kazi iliyobaki baada ya Serikali ya sa100 kufeli kwenye umeme
Siyo umeme tu. Kashindwa kusimamia kodi zetu. Watu wanajipigia tu.

Kawaka gavana wa BOT ambaye hajui lolote juu umuhimu wake kulinda thamani ya shillingi yetu.

Kuwa na mawaziri na viongozi wasiokuwa na impact.

Misafara isiyokuwa na tija. Miaka 62 maji bado ni shida nchi nzima.

Barabara za mijini hazifanyiwi matengenezo.

Kodi na tozo nyingi za kufilisi watanzania

Mikopo isiyo na tija na ya riba kubwa

Pesa nyingi kutumika kununua midege isiyo na faida; kulipa waliotushitaki kwa kuvunja nao mikataba kihuni
 
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.

Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani

Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu

Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Nchi imekuwa ya ajabu sn
 
Uchumi wa kina Dr Mpango wa kwenye makaratasi
 
Lini Tanzania hii umeme ukiacha kukatika au haukuwahi kukatika? Harafu usikariri kwamba Kila Mkoa umeme unakatika.

Uliza wanaopata umeme kutoka Uganda na Zambia kama umeme unakatika.

Mwisho hakuna Cha uchawa ni facts kwenda mbele au kwenu huko hakuna shule za Samia?

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1714315415386562693?t=8ynwPl-_TSpTg9KAEwg3Jw&s=19

Ni wale wale tu. Ni kama Mkurugenzi wa Tanesco akienda Somalia ataisifia Kwa kuimarisha Amani ili hali anajua ukweli.
 
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.

Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani

Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu

Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Tanzania haijawahi kuwa na uchumi wa kati zile zilikuwa fix tu jpm na hakuna aliyekuwa na uwezo wa kuhoji chochote. Nchi ilikuwa ianendeshwa gizani japo umeme ulikuwepo. Sasa hivi nchi inaendeshwa kwenye mwanga japo umeme haupo
 
WB na IMF walikuwa nao wanaburuzwa na JPM?
 
Tanzania haijawahi kuwa na uchumi wa kati zile zilikuwa fix tu jpm na hakuna aliyekuwa na uwezo wa kuhoji chochote. Nchi ilikuwa ianendeshwa gizani japo umeme ulikuwepo. Sasa hivi nchi inaendeshwa kwenye mwanga japo umeme haupo
Fix au wewe ndio unaleta fix? Tanzania tuko uchumi wa kati since then up to now.

Kutoka wastani wa Dola 2 Kwa siku Sasa tuko Dola 3 Kwa siku sawa na 2.8m income per year
 
Income

Income unaijua maana yake? Tofautisha kati ya income, money, fund,bliquidity, capital.
 
Fix au wewe ndio unaleta fix? Tanzania tuko uchumi wa kati since then up to now.

Kutoka wastani wa Dola 2 Kwa siku Sasa tuko Dola 3 Kwa siku sawa na 2.8m income per year
Uchumi wa kati kwa Dola 3 kwa siku sawa na $1080/mwaka? Uko serious au unaota?
 
China gani hiyo ambayo ukame ulitokea ukasababisha mgao wa umeme?

Au China ya mitaa yenu... Kenya penyewe hawana shida ya umeme, alafu unalinganisha China na Tanzania... Yani china kuwe na shida ya mgao wa umeme... Mwaka juzi gani, weka link hapa ya kuonesha China kulikuwa na mgao mwaka juzi? China ukikatika umeme hata nusu saa ni hasara kwa taifa
Itakuwa China ya Chinangali. Iko mkoa wa dodoma
 
Back
Top Bottom