Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Hili suala ukiliangalia kwa mtazamo chanya lina faida nyingi kuliko hasara,mfano mimi nimeweka umeme wa buku 5,mwezi sasa hauishi,.hapa na type umeme hakuna simu nilicharge kibaruani kuna generator,.CCM HOYEEEE
 
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.

Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani

Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu

Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Ni Mgao au hitilafu?
 
Si hayupo?
Kutokuwepo kwake Nchi imepona
20231017_155535.jpg
20231017_155518.jpg
 
Hakika imepoa kwa sababu hata umeme wa kuendeshea shughuli za maisha umegeuka luxury commodity.

Nishati ya mafuta ni deal la Abdu.

Endelea kupiga makofi ya shangwe
Umeme ni swala dogo mwisho wake January mvua ikinyesha na baada ya June hutosikia tena Kuna mgao Hadi 2100
 
Back
Top Bottom