Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

Ni aibu kwa kweli

Hapa ninavyoandika ujumbe huu Niko gizani

Hakika tunamkumbuka sana JPM kama alivyosema😭
 
Ni mmoja tu alitimiza ahafi ya kuwa na umeme wa uhakika.

Hiyo miezi 6 haikuanza leo. Tunaonekana kama.mazuzu kwa hizo ahadi za kipuuzi.

Wewe huna akili
Aliyekutuma ndo kabisaa hana akili
Ilianza lini? Nani huyo.aliyetimiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…