Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
M/kiti wao aliwaambia wasichafuane watashindwa kuombeana kura!..
anafaa kuwa waziri mkuu
Ushamba mzigo kweli kama haujui uliza.hasomi mahali acha kupotosha .
Kichwa cha mwendawazimu.....
Hahahajaha
Nilidhani angetangaza nia ndani ya ardhi ya wapiga kura wake mkoani Tanga..!
Kwani Dr.Slaa anavyotoa ahadi uwa anasema pesa atatoa mfukoni kwake?
Kuna ahadi nzuri zilizowahi kutolewa kushinda za JK? Hakuna jipya CCMKwa ahadi hiz tanzania itakuwa juu kuliko hata marekani
njaa haina baunsa mkuu .
upuuzi unaanza na ww usioelewa zuri wala bayaupuuzi katika level yake .
Miaka kumi ya uongozi wake? Kwa katiba IPI?