Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

M/kiti wao aliwaambia wasichafuane watashindwa kuombeana kura!..

Hawa kuchafuana ndo silaha zao. Yani wanajiharibia wote na chama chao. Mtu akisema mafisadi wa nchi wakati wapo wote kwenye chama moja si ndo kujiharibia huko.
 
Nilidhani angetangaza nia ndani ya ardhi ya wapiga kura wake mkoani Tanga..!

hahahaahahaha me nilidhani kama wewe but nkaja kugundua kuwa nimekariri...naona ni sawa tuu hata angetangazia tabora ama monduli as long as anakuwa rais wa tz na sio Bumbuli
 
Kwani Dr.Slaa anavyotoa ahadi uwa anasema pesa atatoa mfukoni kwake?

Achana na Dr ule mziki mwingine wewe kauze kalmat na pweza kwa mtoro huna upeo wa kuelewa issues.
 
"@TanzaniaMpya: Kila Mtanzania atapata huduma ya afya kwa haki bila kujali uwezo wake. #TanzaniaMpya "
 
Miaka kumi ya uongozi wake? Kwa katiba IPI?

Mkuu, hata Membe na Wassira nao wamesema hivyo! Yan tayari wameshajihakikishia kuwa wakishinda hapo CCM basi wana miaka 10 net madarakani! Uchaguzi wa 2020 kwao ni kama haupo! Mbaya Zaidi Membe alikuwa anaongea as if anasubiri tu JK astaafu yeye ale bata for good ten years!
 
Tusitoe hutuba za sifa zisizotekelezeka na kuwahadaha watanzania kuna vitu Kwa uchumi wetu itakuwa ngumu kufikia malengi kwahiyo wagombea na watangaza nia semeni ukweli tu vinavyotekelezeka na visivyotekelezeka Kwa sasa
 
Back
Top Bottom