Ndio utani jamaani. Msichukie.[emoji3][emoji3]
Yaliingia magoli mawili fasta nikabaki nimeduwaa Mkuu. 😀Vipi? Unatutisha!! Kimetokea nini mbona husemi??
Shem achana na haters!!! Sisi tunacheza na Sevilla full stop!!!Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.
Nimekubali Mtani. Wadhani mwaka wenu huu.Hahahaaaa...tunaelwa sanaa!!!mwaka wetu huuu
Wenzao wapo mazoezini baada ya kumaliza ligi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba wanajisifu ila kiuarisia hawako mwake kama wanavojiona
Ila babe sikuelewi.Yanga tunakata rufaa Simba imenunua mechi
Wanyama Tu Walishindwa Kuwaonyesha VizuriTumalizie tu Dkk 45 kwani hatuna jinsi.
Duh! Leo mtaniua kwa kicheko asee.Ndiyo maana yake[emoji23][emoji23].
Wabongo ni nyooooooko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuangalia hadi mwishoNatabiri hii game inaisha kwa ushindi wa 3-5. Sevilla wanasawazisha na kuongeza. Simba walitangulizwa kama mgambo.
Mark my word..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aga aga dudu la yuyu, umenitekaaaa
PoaT
Tuendelee kuangalia hadi mwisho
[emoji23][emoji23][emoji1787] kijana unatesekeLeo naona hata ubao hautaki kusogezwa yaani utadhani mwandishi kakosea. Yeshamaliza nafasi ya kuandikwa. Kila sekunde goli. Hawa mabingwa wa mbeleko leo mtasemezana
Shem achana na haters!!! Sisi tunacheza na Sevilla full stop!!!
Hamna mkuu, nahisi hao ni wachezaji wa field[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwezi mtukufu huu....hahah, ben yedder ndo top scorer wa sevilla
Haina umuhimu ndiyo maana inaonyeshwa huko!Yaani Mbovu Kuliko Aibu
Yaani Ilibidi Game Hii Wapewe Azam Kuionyesha Halafu TBC
Ndiyo Wachukue Kule
Aibu Gani
Hii hamjahonga, mmetumia kimbola za asili.Haters wao ni kuhate tuuu kila kitu!!!!!
Kila tukishinda tumehongaa
Ila babe sikuelewi.
Wewe ni Yanga au Simba?