Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.
Shem achana na haters!!! Sisi tunacheza na Sevilla full stop!!!
 
Leo naona hata ubao hautaki kusogezwa yaani utadhani mwandishi kakosea. Yeshamaliza nafasi ya kuandikwa. Kila sekunde goli. Hawa mabingwa wa mbeleko leo mtasemezana
[emoji23][emoji23][emoji1787] kijana unateseke
 
Back
Top Bottom