Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Daaahhh Simba acheni roho mbaya.
Kwani hamjafunzwa kukarimu wageni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo nini kumnyanyasa mgeni kiasi hichi?
Hahahahaha!! Wacha tupandishe P, rank zetu zipande,tutakuwa hatuongei na Yanga,tutaongea na Sevilla, Barca,Real Madrid n.k
 
Alhamisi ijayo wacheze na yanga
Ni wazo zuri,
Lakini cha kwanza Yanga wakale kiapo mahakamani kwamba ni aidha Warundi au Wa Malawi maana kuitwa Watz watachafua jina LA nchi maana wataokota Magoli kama senene.

Sevilla icheze na wenye njaa...????
 
Hahahahaha!! Wacha tupandishe P, rank zetu zipande,tutakuwa hatuongei na Yanga,tutaongea na Sevilla, Barca,Real Madrid n.k
Naona United baada ya kukusononesha sana umekuja kupata faraja huku msimbazi[emoji16][emoji16]
 
Jamaa zenu wa jangwani naona roho zina wauuuuma!

Maajabu, nasema maajabu[emoji445][emoji445][emoji445]
Kagere kucheza na Nalito! [emoji445][emoji445][emoji445]maajabu
Okwi kucheza na Banega[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445] maajabu[emoji444][emoji444][emoji445][emoji1623][emoji1623][emoji1623][emoji1623]

Maaajabu[emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…