The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Tunawataka Atletco Madrid sasa!!
Baada ya hapo ni Real Madrid...waleeeeee Barcelona nao
Baada ya hapo ni Real Madrid...waleeeeee Barcelona nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20Bado dakika ngapi
Hahahahaha!! Wacha tupandishe P, rank zetu zipande,tutakuwa hatuongei na Yanga,tutaongea na Sevilla, Barca,Real Madrid n.kDaaahhh Simba acheni roho mbaya.
Kwani hamjafunzwa kukarimu wageni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo nini kumnyanyasa mgeni kiasi hichi?
Ni wazo zuri,Alhamisi ijayo wacheze na yanga
Naona United baada ya kukusononesha sana umekuja kupata faraja huku msimbazi[emoji16][emoji16]Hahahahaha!! Wacha tupandishe P, rank zetu zipande,tutakuwa hatuongei na Yanga,tutaongea na Sevilla, Barca,Real Madrid n.k
Kuwa shabiki wa simba raha sanaaaaNNE dadaaaaa...[emoji6][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Wamzuie Makambo asiondoke kwanza maana inaweza kuwa netballNi wazo zuri,
Lakini cha kwanza Yanga wakale kiapo mahakamani kwamba ni aidha Warundi au Wa Malawi maana kuitwa Watz watachafua jina LA nchi maana wataokota Magoli kama senene.
Sevilla icheze na wenye njaa...????
Jirani yangu simba wananipa rahaNaona unafurahi tu jirani[emoji23][emoji23]
Soma tena, wapi nimezunguzia habari za muda wa kukaa sana?Acha u.f.a.l.a simba wamecheza game ya mwisho kabla ya hii LINI? na Sevilla wamekaa mda GANI?
Tunawataka Atletco Madrid sasa!!
Baada ya hapo ni Real Madrid...waleeeeee Barcelona nao
Wamzuie Makambo asiondoke kwanza maana inaweza kuwa netball
Jirani yangu simba wananipa raha
Hakunaaa!!! Ndy mana naona sasa ni muda wa Atltco madrid na wao kuja taifaTimu gani Africa imepiga timu ya laliga magoli nne