Kabisaaa. Japo Watani zetu walisema wameanza na nyama. πππNaona sevila wamezikuta nyama chini baada ya kunywa supu.
Yaani tunaelekea job kwa amani yoteFyokofyoko mkalale sasa maana mji usingetosha leo.
Halafu inaonekana mnapenda hamsa kila siku tu. π wazee wa hamsaa
Kwanini unawashwa?? Kucheza kacheza Simbasio tumejitahidi, sema tumecheza mpira mwingi na tumewatoboa goli nne
aliyetuangusha ni refa alieongeza dk 5 hakua na nia nzuri na simba, achana na vyura fc ambao ata hawajaangalia mpira wameuskiliza redion
YANGA SUBIRINI NDONDO CUP INAANZA MKASHIRIKI
πππ Bodaboda FC rafiki. ππNani kanyolewa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1105879
Humu humu Mkuu πππSisi vyura tuna comment wapi?
ππππ Pole Mtani wangu.Mmeshinda furahi sasa
Wachezaji waliangaliwa kwa upande mwingine ili waingie kwenye history ya kucheza na Servilla la sivyo ushindi ulikua wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole Mtani wangu.
Wanasemaga anayejua anajua tu.
Sijakuelewa Mtani hivyo kuingia kwenye Vitabu kwa kipigo ndio sawa. Au sijaelewa?Wachezaji waliangaliwa kwa upande mwingine ili waingie kwenye history ya kucheza na Servilla la sivyo ushindi ulikua wetu
Nakusalimia Mtani.Mtani Simba kanunua mechi
Mechi ya kirafiki ujue, Man United alikufa 2 Barcelona alipigwa 3Sijakuelewa Mtani hivyo kuingia kwenye Vitabu kwa kipigo ndio sawa. Au sijaelewa?
Mtani ukapotea mazima. Daku niliandaa nakutafuta sikuoni na hata kupatikana hupatikani au ndio ulikuwa na wenge la 5 πππ
ππππππHamsa ya tatu msimu mmoja huu ni zaidi ya uchangu
Hahaaaa. Sawa Mtani wangu japo najua hapo karoo kanauma balaa kwani kama unakwenda job unawaza namna ya kujitetea kwa wenzio pale kwa Ofisi.Mechi ya kirafiki ujue, Man United alikufa 2 Barcelona alipigwa 3
Nishamalizana nao jana janaHahaaaa. Sawa Mtani wangu japo najua hapo karoo kanauma balaa kwani kama unakwenda job unawaza namna ya kujitetea kwa wenzio pale kwa Ofisi.
Maana ushabiki huu kikawaida hauishii humu pekee.
Itakuwa haijapita best kwani alichokiwaza kimekuwa kinyume.Manara sijuwi Kama kapata daku kwakweli πππππ
Uko vizuri Mtani.Nishamalizana nao jana jana
Hahahaaaa. Mwamshe tu best kisha mwambie siku ingine ashangilie after 90 Mins.Mdogo wangu mshabiki wa simba
Zile goli mbili alisumbuwa sana
Zilipoingia tano alitokomea chumbani kimyakimya hajatoka mpaka muda huu πππππππ
πππ mie nilishangaa ile second half alipofanya zile sub.Kocha Mzungu uchebe naona kaleta Mambo ya Vasco Da Gama
Kawasaidia wazungu wenzie