Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisaaa. Japo Watani zetu walisema wameanza na nyama. πππNaona sevila wamezikuta nyama chini baada ya kunywa supu.
Yaani tunaelekea job kwa amani yoteFyokofyoko mkalale sasa maana mji usingetosha leo.
Halafu inaonekana mnapenda hamsa kila siku tu. π wazee wa hamsaa
Ujue nimekaa na kuiangalia sana hii tano sa sijui Mikia wanaipendea nini. πππ