Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Naona sevila wamezikuta nyama chini baada ya kunywa supu.
Kabisaaa. Japo Watani zetu walisema wameanza na nyama. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Fyokofyoko mkalale sasa maana mji usingetosha leo.
Yaani tunaelekea job kwa amani yote
Halafu inaonekana mnapenda hamsa kila siku tu. πŸ– wazee wa hamsaa

Ujue nimekaa na kuiangalia sana hii tano sa sijui Mikia wanaipendea nini. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
IMG-20190523-WA0014.jpg
 
sio tumejitahidi, sema tumecheza mpira mwingi na tumewatoboa goli nne
aliyetuangusha ni refa alieongeza dk 5 hakua na nia nzuri na simba, achana na vyura fc ambao ata hawajaangalia mpira wameuskiliza redion

YANGA SUBIRINI NDONDO CUP INAANZA MKASHIRIKI
Kwanini unawashwa?? Kucheza kacheza Simba
, kufungwa kafungwa Simba afu lawama kwa YANGA. Mmepata mlicho stahili
 
Mtani ukapotea mazima. Daku niliandaa nakutafuta sikuoni na hata kupatikana hupatikani au ndio ulikuwa na wenge la 5 😜😜😜

Manara sijuwi Kama kapata daku kwakweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Manara sijuwi Kama kapata daku kwakweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Itakuwa haijapita best kwani alichokiwaza kimekuwa kinyume.

Kuna video nimeona anasema wakichanganywa wachezaji wa Ginora, Getafe sijui Madrid na Barcelona waunganishe wachezaji waje kwa Mchina hawatoki. Teh teh. Itakuwa kalala hoi. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mdogo wangu mshabiki wa simba
Zile goli mbili alisumbuwa sana

Zilipoingia tano alitokomea chumbani kimyakimya hajatoka mpaka muda huu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mdogo wangu mshabiki wa simba
Zile goli mbili alisumbuwa sana

Zilipoingia tano alitokomea chumbani kimyakimya hajatoka mpaka muda huu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaaaa. Mwamshe tu best kisha mwambie siku ingine ashangilie after 90 Mins.

Sababu watu kama wale dkk tano nyingi kwao kubadilisha matokeo.
 
Back
Top Bottom