Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Pachaa [emoji23][emoji23][emoji23]kikosi Z.
Ila mnajua kuloga bhana, palikuwa na ulazima gani kuandaa ngoma ya kwenda kuwapokea?
Bahati yako ni demu ila ningekusukumia maneno mazito sana.

Ben yedder ni kikosi Z?? Nolito je?? mama....e kabisa vyura
 
Bado siamini kama hii ni Sevilla ya kule Spain!
 
Bahati yako ni demu ila ningekusukumia maneno mazito sana.

Ben yedder ni kikosi Z?? Nolito je?? mama....e kabisa vyura
Hahahha tukanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom