Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hawana ubavu huo shem.Kuna kamchezo wamefanya kama vp wao waende La Liga tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana ubavu huo shem.Kuna kamchezo wamefanya kama vp wao waende La Liga tuone.
Ndiyo maana yake[emoji23][emoji23].Uwiii kwahiyo wanawaza mauno ya jana ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa Una Dharau Wewe Sana 🤣😂😁😀😆😆Bingwa wa mbeleko
Hakuna link niangalie online?
Bodaboda unaichukuliaje wewe? Bodaboda moja ni mshara wa miezi mitatu wa Feisal TotoHawa jamaa walivyojua wanacheza na Mabodaboda naona wameamua kurelax
Bahati yako ni demu ila ningekusukumia maneno mazito sana.Pachaa [emoji23][emoji23][emoji23]kikosi Z.
Ila mnajua kuloga bhana, palikuwa na ulazima gani kuandaa ngoma ya kwenda kuwapokea?
SIMBA 47 $EVILLA 53Aliyeona ile ball possession aniambie jamaani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HahahahahahahahahHahahahahha ile suti uliirudisha kabatini eeh.
Sawa usikimbie tuu kama ile siku
Wamekomaza viuno hatari wenzao wame relax wanasubiri kwenda Serengeti kwa mapumzikoYan kma wameambwa wanapewa ugari
Hahahaha tulikuwa tunadumisha mila ile siri tuliyofundishwa na mama,mchawi kiuno!!!!!!! Embu jaribu nawe kwa baba naniliu uone mambo yatakavyokunyookea!!!!!Pachaa [emoji23][emoji23][emoji23]kikosi Z.
Ila mnajua kuloga bhana, palikuwa na ulazima gani kuandaa ngoma ya kwenda kuwapokea?
Yanga ombeni friend match na LIPULI tuone.Sio wivu mama, ni ukweli. Kungekuwa kuna cha kushindaniwa wangecheza kama hivi.
Salama lakini?
Mtani Simba kanunua mechiBora liende. [emoji3]
Hahahha tukanaaa.Bahati yako ni demu ila ningekusukumia maneno mazito sana.
Ben yedder ni kikosi Z?? Nolito je?? mama....e kabisa vyura
Natabiri hii game inaisha kwa ushindi wa 3-5. Sevilla wanasawazisha na kuongeza. Simba walitangulizwa kama mgambo.
Mark my word..
Ussijar mkuu yanga iko mwake sanaAcha tu Mkuu. Hapa nimenuna mbaya.
Yaani mi nawaombea njaa tu kila siku. [emoji23][emoji23][emoji23]