Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.

Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.

 
Msaga Sumu kimemkuta nini mwaka huu kuiimbia sisiem

Au ile mnayosemaga njaa
 
Hakika jamaa alikuwa anaweza
Your browser is not able to display this video.
 
Bado sijamuona msanii anayeiimbia CCM kutoka moyoni kama alivyokuwa kapiteni John Komba.

Ngoja tuone labda atatokea.

Maendeleo hayana vyama!
Unajua maana ya 'Msanii' Mkuu? Kwa sasa Tanzania hakuna 'Wasanii' bali kuna Kundi Kubwa sana la 'Waburudishaji' wenye 'Ujuha' uliowatukuka!!!
Huu ni mradi wa chakubanga kupiga pesa za chama, huu ni wakati wa mavuno kwa wajanja chamani.
 
hao vijana wenzangu wamekwenda kushangilia au kushangaa?🙃
na jua la dar linavyowaka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…