Marwedhe
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 135
- 160
Mbogamboga zikiwa shambani....Hawa ni Twanga Pepeta wakifanya yao
View attachment 1537946View attachment 1537947View attachment 1537948View attachment 1537949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbogamboga zikiwa shambani....Hawa ni Twanga Pepeta wakifanya yao
View attachment 1537946View attachment 1537947View attachment 1537948View attachment 1537949
Tamasha hata halisikiki kama lipo. Ccm imechokwaNitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.
Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
View attachment 1537939View attachment 1537940View attachment 1537941
Bila wasanii hata watu 100 hawafiki. Hapo watu wameenda kuangalia wasanii kiingilio cha bure. Maan uchumi mgumu watu kwenymda live bad show hawana. Ila mambo ya ccm hawana habari nayo.mbona wasanii wanapiga kelele ccm hoyeeeee, halafu watu wapo kimnya
Hata mimi ningekuwa karibu ningeenda. Show ya bure miaka mitano ya ukame wa pesa sio mchezo.Ngoja wananchi wapoze machungu ya miaka 5 kwa show za bure,
Nawasihi twanga au TOT wamuongeze kwenye jukwaa Yule mnenguaji nguli wakukata miuno Bwana Kagingi Ligolugola
Mkuu watu wengi Dar/Tz / Africa ni kama tuna kuwa hatuna kazi za kufanya hivihao vijana wenzangu wamekwenda kushangilia au kushangaa?[emoji854]
na jua la dar linavyowaka!!!
na wengi wao ni vijana. ccm wanafuata hiyo fursa ya watu mjini kuwatumia km hivyoMkuu watu wengi Dar/Tz / Africa ni kama tuna kuwa hatuna kazi za kufanya hivi
Yaani ni shida sana, fikiria walivyo kuwa wanajazana pale TFF etu kusubiri hukumu ya Morrison.na wengi wao ni vijana. ccm wanafuata hiyo fursa ya watu mjini kuwatumia km hivyo
Genty kama Genty, almaarufu kama P.O.P.O...Unajua maana ya 'Msanii' Mkuu? Kwa sasa Tanzania hakuna 'Wasanii' bali kuna Kundi Kubwa sana la 'Waburudishaji' wenye 'Ujuha' uliowatukuka!!!
Simple answer! Fursa! Unatafuta wapi penye hela ya bure! tena kubwa kidogoCCM ilikuwa enzi za marehemu mzee Ben bwana. Ilikuwa nyimbo za marehemu John Komba zikipigwa wananchi wanadata kwa mahaba waliyokuwa nayo kwa ccm.
CCM ya wakati ule ilikuwa na wafia chama, wapenda chama na wafurukutwa wa chama. Mizizi hii ya ccm ilijipandikiza mpk ndani kwenye jamii.
Awamu ya nne ya mzee Kikwete ndipo yakazaliwa makundi mapya ya ccm maslahi na CCM mtandao. CCM mtandao walikuwa na fedha na ndiyo walikuwa na nguvu ya ushawishi na maamuzi kuliko wafia chama, asilia, wafurukutwa na maslahi.
Sasa awamu hii ni vululu vululu. CM asilia wanapuuzwa, CCM maslahi wanapuuzwa, CCM, CCM mtandao wanapuuzwa. Sasa kumezaliwa CCM YA MTU. Hawa ndiyo wenye Sauti na maamuzi, lkn ni wachache Sana. Hawa ndiyo wameififisha ccm na kuifanya kukosa mvuto kabisa.
Imefifia kiasi cha kishindwa kujisemea na kujitangaza yenyewe kwa wananchi mpk wasanii wakusanyike uwanja wa Uhuru wapige promo.
Hapo pia kuna watafuta fursa ndiyo kipindi chao cha mavuno 'opportunist seekers 'CCM ilikuwa enzi za marehemu mzee Ben bwana. Ilikuwa nyimbo za marehemu John Komba zikipigwa wananchi wanadata kwa mahaba waliyokuwa nayo kwa ccm.