Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

Jamani wasanii wote hawa watalipwa na Serikali wala sio CCM Tv coverage zilizo live zitalipwa na Serikali na wala sio CCM

Ccm hawana pesa ya kulipa live coverage ya masaa zaidi ya 5 kwenye Tv na wasanii zaidi ya 200 huu ni uongo watalipwa na Serikali ya Magufuli.

Na hapa ndipo hoja yangu ya mwatumizi mabaya ya madaraka inapokuja

Inakuwaje pesa za walipa Kodi Kama Machinga, Mama ntilie wafanyabiashara, Wafanyakazi na wanafunzi ziende kulipa wasanii wakati ni juzitu Waziri mkuu kagundua bado Kuna shule watoto wanakaa chini.

Kuna vijiji toka tupate Uhuru hawajawai kuona taa ya umeme wakati CCM imetawala zaidi ya miaka 59?

Miaka 59 ya Uhuru unawalipa wasanii zaidi ya 200 wakati baadhi ya majiji Kama mwanza arusha na dar maji bado yanakatikati sehemu nyingine za jiji hayapatikani kabisa.

Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu na pia watanzania wanafanywa wapumbavu.

Imagine miji Kama sengerema, tarime, bunda, bariadi, ukelewe Magu bado Kuna uhaba wa maji wakati wako karibu na ziwa Victoria ambalo ndio ziwa kubwa zaidi barani afrika.

Leo wasanii wanatumika kuupigia kampeni utawala ulioshindwa kwa kutumia pesa za walipakodi ambazo zingepeleka maji maeneo yao Mazuzu wanashangilia.
Acha wivu wa kike ,ccm pesa iko ,hiyo sio saccos kama chadema ,ni taasisi kubwa na bora barani
 
Ya ccm waachie wao ccm wenyewe, mbona nyie chadema hakuna mtu aliyekuja kuwauliza hela za kuonga madereva bodaboda kwenye misafara ya tundu lissu.
 
Yule anakwenda kutafuta sign za wa wadhamini hamuoni kama anatumia vibaya hela za Chama?????
 
Wastaafu mafao yao wanazungushwa miaka ya kutosha tu kumbe hela zao zinapelekwa kwny mambo ya hovyo hovyo tu.
Ccm inatumia hela zake vuzuri,!
Haitumii kulewea konyagi kama mwenyekiti wenu afanyavyo
 
Jamani wasanii wote hawa watalipwa na Serikali wala sio CCM Tv coverage zilizo live zitalipwa na Serikali na wala sio CCM

Ccm hawana pesa ya kulipa live coverage ya masaa zaidi ya 5 kwenye Tv na wasanii zaidi ya 200 huu ni uongo watalipwa na Serikali ya Magufuli.

Na hapa ndipo hoja yangu ya mwatumizi mabaya ya madaraka inapokuja

Inakuwaje pesa za walipa Kodi Kama Machinga, Mama ntilie wafanyabiashara, Wafanyakazi na wanafunzi ziende kulipa wasanii wakati ni juzitu Waziri mkuu kagundua bado Kuna shule watoto wanakaa chini.

Kuna vijiji toka tupate Uhuru hawajawai kuona taa ya umeme wakati CCM imetawala zaidi ya miaka 59?

Miaka 59 ya Uhuru unawalipa wasanii zaidi ya 200 wakati baadhi ya majiji Kama mwanza arusha na dar maji bado yanakatikati sehemu nyingine za jiji hayapatikani kabisa.

Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu na pia watanzania wanafanywa wapumbavu.

Imagine miji Kama sengerema, tarime, bunda, bariadi, ukelewe Magu bado Kuna uhaba wa maji wakati wako karibu na ziwa Victoria ambalo ndio ziwa kubwa zaidi barani afrika.

Leo wasanii wanatumika kuupigia kampeni utawala ulioshindwa kwa kutumia pesa za walipakodi ambazo zingepeleka maji maeneo yao Mazuzu wanashangilia.
Limbukeni na mshamba anakoipeleka hi nchi Mungu ndio anajua .
 
Kumbe unafikiriwaliokuja wamekuja kuangalia CCM inataka kufanya nini au wamekuja kuangalia wasanii?

Utapata jibu kwamba wamekuja kushangaa wasanii.
Wasanii was CCM.
Pwahahaha. Mtakufa na ugonjwa wa moyo.
 
Kwenye mikutano ya CCM watu watafuata burudani, ila kwenye mikutano ya CDM watu watafuata sera na nondo za kufa mtu toka kwa wakili msomi, Tundu Antipas Lissu.

Nyie jidanganyeni na hao wasanii wachumia tumbo.
 
Usiku SAA NNE na dakika 36 King Kiba CCM oyee.
Kuna watu watakufa na shinikizo la moyo

Back
Top Bottom