Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Taifa leo Ukimwi mimba zisizotarajiwa lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu siyo moto. Ni kujifariji tu
Pwahahaha!!! 🤣🤣. Ndani ya CCM ni raha sana.Huu siyo moto. Ni kujifariji tu
Hii iwe chachu ya watanzania kupiga kura za hasira kuiondoa ccm madarakaniJamani wasanii wote hawa watalipwa na Serikali wala sio CCM Tv coverage zilizo live zitalipwa na Serikali na wala sio CCM
Ccm hawana pesa ya kulipa live coverage ya masaa zaidi ya 5 kwenye Tv na wasanii zaidi ya 200 huu ni uongo watalipwa na Serikali ya Magufuli.
Na hapa ndipo hoja yangu ya mwatumizi mabaya ya madaraka inapokuja
Inakuwaje pesa za walipa Kodi Kama Machinga, Mama ntilie wafanyabiashara, Wafanyakazi na wanafunzi ziende kulipa wasanii wakati ni juzitu Waziri mkuu kagundua bado Kuna shule watoto wanakaa chini.
Kuna vijiji toka tupate Uhuru hawajawai kuona taa ya umeme wakati CCM imetawala zaidi ya miaka 59?
Miaka 59 ya Uhuru unawalipa wasanii zaidi ya 200 wakati baadhi ya majiji Kama mwanza arusha na dar maji bado yanakatikati sehemu nyingine za jiji hayapatikani kabisa.
Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu na pia watanzania wanafanywa wapumbavu.
Imagine miji Kama sengerema, tarime, bunda, bariadi, ukelewe Magu bado Kuna uhaba wa maji wakati wako karibu na ziwa Victoria ambalo ndio ziwa kubwa zaidi barani afrika.
Leo wasanii wanatumika kuupigia kampeni utawala ulioshindwa kwa kutumia pesa za walipakodi ambazo zingepeleka maji maeneo yao Mazuzu wanashangilia.
Tazameni na hali zenu kibiashara itakuwaje mara baada ya uchaguzi kwisha, kazi zenu zitasusiwa na wasiyo wana ccmKiongozi technically najua una hasira ila tuache na sisi musicians tufaidi kidogo kipindi hiki, tumebaniwa sana [emoji28]
Jamani wasanii wote hawa watalipwa na Serikali wala sio CCM Tv coverage zilizo live zitalipwa na Serikali na wala sio CCM
Ccm hawana pesa ya kulipa live coverage ya masaa zaidi ya 5 kwenye Tv na wasanii zaidi ya 200 huu ni uongo watalipwa na Serikali ya Magufuli.
Na hapa ndipo hoja yangu ya mwatumizi mabaya ya madaraka inapokuja
Inakuwaje pesa za walipa Kodi Kama Machinga, Mama ntilie wafanyabiashara, Wafanyakazi na wanafunzi ziende kulipa wasanii wakati ni juzitu Waziri mkuu kagundua bado Kuna shule watoto wanakaa chini.
Kuna vijiji toka tupate Uhuru hawajawai kuona taa ya umeme wakati CCM imetawala zaidi ya miaka 59?
Miaka 59 ya Uhuru unawalipa wasanii zaidi ya 200 wakati baadhi ya majiji Kama mwanza arusha na dar maji bado yanakatikati sehemu nyingine za jiji hayapatikani kabisa.
Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu na pia watanzania wanafanywa wapumbavu.
Imagine miji Kama sengerema, tarime, bunda, bariadi, ukelewe Magu bado Kuna uhaba wa maji wakati wako karibu na ziwa Victoria ambalo ndio ziwa kubwa zaidi barani afrika.
Leo wasanii wanatumika kuupigia kampeni utawala ulioshindwa kwa kutumia pesa za walipakodi ambazo zingepeleka maji maeneo yao Mazuzu wanashangilia.
Alafu wanajitapa kuwa chama chao kinapendwa sana.Wanatumia pesa zote hizo kushawishi wananchi kuchagua CCM wakati wamenunua ndege na kujenga flyover?
MajiziUnahisi kwamba ccm haiwezi kuwa na pesa mingi....
Unahisi kwamba wametumia pesa nyingi za serikali....
Huna uhakika pesa ngapi na zimelipwa toka akaunti gani.....
Kisha tunaweka conclusion na kujadili ...
Maana halisi ya thinking tank.