Duh! Kwa halo waliyonayo magamba, mpaka sasa hakuna mgombea wa ccm kwenye majibu ya watanzania, ninachokiona mbele yao ni giza totoro.
Mpaka sasa sijaona Rais ajaye kupitia ccm.
Kwa hiyo pale ni kwa ajili ya nini?
HUYO NDIO MEMBE KATIKA UBORA WAKE....yaan bora JK abakie madarakani kuliko MEMBEHahahaa...mtanivunja mbavu leo, jamaa sijategemea ka mweupe kiasi hiki.
Mipango yote ya awa jamaa ni uongo mtupu, mipango ya mgombea wa ccm ipo kwenye ilani ya chama ambayo haijatoka bado. Kuhusu mipango ya uongo Mwigulu cha mtoto msubiri January Makamba lazima ukubali uongo wake alivyo nomaaa.
Tunajua kuwa Mwanamke HISIA ... lakini baby gal hisia zako kwa Mwigulu ziko juu mbinguni ... Msikilize Makongoro labda atakusaidia kuona Upande wa Pili wa shilingi ..
Membe kanisikitisha sana badala ya kutangaza vipaumbele vyake na kuomba wana CCM wampendekeze apeperushe bendera ya CCM yeye kaishia kupambana na UKAWA utadhani Ukawa ndio wataingia kwenye NEC ya CCM, poor me.Wote waliotangaza nia kupitia ccm ni Makongoro tu alieonyesha anajua anachokifanya kwa hatua aliyopo.
Hajui hata bajeti ya serikali 79%wanategemea vinywaji .
Weupe wa MEMBE usihusishwe na CCM.nimemsikiliza ndugu membe nimegundu kwamba wagombea wa ccm i weupe sana !
nimemsikiliza ndugu membe nimegundu kwamba wagombea wa ccm i weupe sana !
Weupe wa MEMBE usihusishwe na CCM.
Membe kanisikitisha sana badala ya kutangaza vipaumbele vyake na kuomba wana CCM wampendekeze apeperushe bendera ya CCM yeye kaishia kupambana na UKAWA utadhani Ukawa ndio wataingia kwenye NEC ya CCM, poor me.
Mwenyewe kani disappoint sana Leo nilijua ataongea ya maana badala yake kachaganya madesa. Yani nilichotegemea tofauti kabisa.
Hawa wake za viongozi weupe mno hivi hawajifunzagi hata kuongea ili kuonekana wana support. Wanatia aibu hivi utakosaje cha kuongea kumu support mume.
Amesema atapigania haki miliki za wanariadha....mwenye ufafanuzi asaidie haki miliki ya mwanariadha ni zipi ? au mmoja akishashinda mbio kwa dakika 10 sekunde saba apewe haki miliki ili mwingine asitumie tena muda huo.