Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
pole sana mkuu , hii mbinu ya ushindi ya wapinzani hata Kinana imemchanganya sana !Hivi kwa hiyo strategy yenu ya kuwa mabubu na kuona aibu kuwatangaza wagombea wenu unadhani mtaingia Ikulu?
Mbona jukwaa kuu vibaraghashia vingi?
Uswahili mwingi huko lindi.
pole sana mkuu , hii mbinu ya ushindi ya wapinzani hata Kinana imemchanganya sana !
Akiteuliwa kugombea, picha itamsaidia kumpa kura za wamama.
Nakumbuka ata chuo sie tusiokuwa "presentable" tulikuwa tunadisadvantage kwenye angle hiyo maaba viumbe wetu hawa kitu cha kwanza walikuwa wanangalia muonekano wa mtu.Mitaani, vijijini na uswahilini ndio usiseme.
Umesema kweli hata Jk 2005 eti walikua wanamsifia mno. Ndo mana hyo mvuto huongeza kitu kidogo ila si kwa zama hizi aisee.
Sasa Sir George Kahama anaongea..wenye kujua huyu mzee anamaslai gani?
Acha kutudanganya hapa. Wewe mwenyewe kwa maandishi yako unadhihirisha wazi kabisa kuwa umekufa kwa Membe.