Ameanza kwa kuapa kuwa jimbo lake kamwe haliwezi kuchukuliwa na upinzani,litabaki mikönoni mwa CCM daima...hapa nimejiuliza hivi wananchi wakiamua kuchagua mbunge wa upinzani itakuwaje?
Membe kaanza kuongeq jamani
kijana umeishia darasa la ngapi ? sasa hapo una maana gani , hatuna wagombea au tunao lipumba na safari ?
Unataka kuona Lozari za mbao misalaba subiri Padre Slaa akienda kuchukuwa fomu ya urais.Vibaraghashia ndo viliko zaliwa huko mkuu ko usishangae.
DIVA kama kweli vile ... nchi hii kunawajinga wengi sana! Usalama sasa inapewa kipaumbele na si Umasikini na Uchumi wa Watanzania wenye Utajiri wa kila aina ...
Membe amesafirisha wamwela na wafanya matambiko wote wa umwelani eti anataka urais ikulu itajaa waganga wa kienyeji.
Makafara ndio usiseme mana kutanga nia tu wazee njoni mfanye tambiko la kimwela akiwa rais je si taifazima tutaambiwa tutambike kimwela