Mungu???Zâmbia imekuwaje tena!? Hivi unaanzajeanzaje kumwamini mdosi,mwarabu na Mungu!?
Nalog off
Kashimir, Louis brothers umewasahau?Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
Kashimir alikuwa mhindi/ mpakistanSio kitu kigeni bongo,unless kama hujuhi historia ya JWTZ,
Alikuwepo General Warden,huyu alikuwa chotara(mzungu na mhehe)alikuwepo Kapten Kashimir,muarab kabisa,
Ni aibu kujishusha na kumuona mwingine wa thamanKwa hatia hiyo ninaamini serikali yake itafanya vizuri.
Ngozi nyeupe Wana kitu cha ziada kichwani kuliko sisi
Tumecheza Sana kwake enzi za utundu wetu apo Iwambi mbeya Kwa Walden,kwenye vibustani vyake (home)Akina major general walden a.k.a black mamba
Hapo mwishoni "onisechaga noo ngaru"I've determined your stupidity through the first comment you quoted me.
You guy you are dumb and senseless.. U attacked me like mad dog.
Ole nchilonchilo.
tena huyu Louis kama sikosei alikuwa anapenda sana michezo ya kurenga shabahaKashimir, Louis brothers umewasahau?
Kumbe ndio maana makabila mengine hutoa ng'ombe nyingi wakitaka kuoa wanawake wenye ngozi kwa sababu wamegundua wanakitu cha ziada kichwani. Na ndio maana Yanga wamemchukua Manara.Kwa hatia hiyo ninaamini serikali yake itafanya vizuri.
Ngozi nyeupe Wana kitu cha ziada kichwani kuliko sisi
Kwani huko kwao ngozi nyeupe hawatumiani kisiasa?Ngozi nyeupe sidhani kama watakubali kutumika kisiasa kama hawa akina afande sifuri
Yes, yule mdogo aliyekuwa major. Kakake alikuwa LT. Colnel. Mtu wa totos kwa sanatena huyu Louis kama sikosei alikuwa anapenda sana michezo ya kurenga shabaha
Lilipo kuja lile beberu la barick gold mine,mwendazake yule mchato,alikenua meno yote na kwa sauti yake akalisifia beberu akisema ilo beberu ndio mwanaume halisi,sasa sijui alimaanisha sisi wa-tz wote ni wanawake a.k.a mademu!!!Hawa watu wametuumiza sana..hakuna kuwapa nafasi ndani ya serikali au utumishi waumma..historia itufunze.
#MaendeleoHayanaChama
Ni upuuzi tu kuna watu wanajiita watanzania ila hawataki kuchangamana na watanzania hasa wahindi na waarabu..hawa eti kesho uwape nafasi ndani ya utumishi wa umma..kwa walivyo na ubaguzi...hell no...nchi yetu tutaiongoza sisi ma black waafrika halisi.Lilipo kuja lile beberu la barick gold mine,mwendazake yule mchato,alikenua meno yote na kwa sauti yake akalisifia beberu akisema ilo beberu ndio mwanaume halisi,sasa sijui alimaanisha sisi wa-tz wote ni wanawake a.k.a mademu!!!
Zama hizi ni ngumu maana huwa awapendi kupangiwa majukumu au kuwa chini ya chamaTulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)