KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

Ngozi nyeupe sidhani kama watakubali kutumika kisiasa kama hawa akina afande sifuri
 
Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
Kashimir, Louis brothers umewasahau?
 
Sio kitu kigeni bongo,unless kama hujuhi historia ya JWTZ,
Alikuwepo General Warden,huyu alikuwa chotara(mzungu na mhehe)alikuwepo Kapten Kashimir,muarab kabisa,
Kashimir alikuwa mhindi/ mpakistan
 
Mshamba wa wageni ameshapatikana
Mkuu Rais Haikamde siyo mshamba na huyo chotara siyo mgeni labda tafute history background yake na wazazi wake then uje ukoment upya.
 
Kwa hatia hiyo ninaamini serikali yake itafanya vizuri.

Ngozi nyeupe Wana kitu cha ziada kichwani kuliko sisi
Kumbe ndio maana makabila mengine hutoa ng'ombe nyingi wakitaka kuoa wanawake wenye ngozi kwa sababu wamegundua wanakitu cha ziada kichwani. Na ndio maana Yanga wamemchukua Manara.
 
Hawa watu wametuumiza sana..hakuna kuwapa nafasi ndani ya serikali au utumishi waumma..historia itufunze.

#MaendeleoHayanaChama
Lilipo kuja lile beberu la barick gold mine,mwendazake yule mchato,alikenua meno yote na kwa sauti yake akalisifia beberu akisema ilo beberu ndio mwanaume halisi,sasa sijui alimaanisha sisi wa-tz wote ni wanawake a.k.a mademu!!!
 
Africa ni kituko sana. Huyu si ndo alikuwa anataka kuwaondoa wachini walioajiriwa na Serikali Na yeye kachagua nini?
Jeshi linaendeshwa na vifaa vya kisasa siyo mtu
 
umeshaenda jeshini ukawakuta watu wa namna hiyo, wakati tunapata uhuru tulikuwa na watu wa namna hiyo tena walikuwa na vyeo vikubwa.
 
Lilipo kuja lile beberu la barick gold mine,mwendazake yule mchato,alikenua meno yote na kwa sauti yake akalisifia beberu akisema ilo beberu ndio mwanaume halisi,sasa sijui alimaanisha sisi wa-tz wote ni wanawake a.k.a mademu!!!
Ni upuuzi tu kuna watu wanajiita watanzania ila hawataki kuchangamana na watanzania hasa wahindi na waarabu..hawa eti kesho uwape nafasi ndani ya utumishi wa umma..kwa walivyo na ubaguzi...hell no...nchi yetu tutaiongoza sisi ma black waafrika halisi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Muhindi au mwarabu akishika wadhifa mleta mada jua utakuwa unanyewa mdomoni kila siku iitwayo leo
 
Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
Zama hizi ni ngumu maana huwa awapendi kupangiwa majukumu au kuwa chini ya chama
 
Back
Top Bottom