Kutokana na hamahama hii, Mbowe azomewe?

Lakini Polepole ni mbinafsi uliyetukuka. Yaani mtu kama huyu naye unamlipa bk 7 kama wengine? Angalia alivyojipinda kuandika ugolo wake lakini ETI naye alingane na wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe unamuonea tu. Nyuma ya pazia ya hamahama kuna nguvu kubwa ambayo Mbowe hahusiki. Kumfananisha Mbowe na kocha wa Arsenal ni kuleta ushabiki usio na maana wakati sisi kama taifa tuna tatizo kubwa la kushughulia na kupata majibu sahihi na mustakabali wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenitia uchungu kuzungumzia wastaafu. Jana nimemsikia Rais wa TUCTA akizungumza na wabunge huko Dodoma (but it was recorded) kuwa kuna wastaafu wa serikali wana zaidi ya mwaka hawajalipwa yale mafao yao ya mkupuo.
Mbaya zaidi CEO wa huo mfuko mpya naye anakiri jambo hilo nakuahidi eti hadi January watalipwa wote.
Wanajisifu nini wakati hayo yalikuwa haya tokei?
Ndio maana nawaambia Ukonga na Monduli, endeleeni kuipa CCM kura ili muwe mnaona Bombardier zikipita angani lakini nyie kuliwa pension zenu mtasikia mijadala tuu hadi mfe
 
Lkn mboe si anafaa kuzomewa?
 
Kama ulitumwa rudi kawaambie mbona hawa jamaa hawaelewi kuhusu Mbowe, wanampenda kupitiliza. Kama umetumwa na polepole mwambie kisiasa bado yupo kindergarten anahitaji kujifunza kwanza aingiee la kwanza, std 7,form 4, six, chuo ndipo aje kupambana na Mbowe
 
Kwa katiba tuliyonayo upinzani ni sawa na 'parasites' ndio maana yanatokea haya tunayoyaona. Binafsi sipingani na upinzani ila ''they are at the wrong place and particularly at the wrong time"
 
Pamoja na ujinga wa wazi kabisa kuonyeshwa na mleta mada ila nimekuwa shocked baada ya kuona nguli na mchambuzi maarufu mwenye weredi mkubwa mwandishi wa habari mkubwa hapa Tz Pascal Mayalla ku like huu uzi,nimekushangaa sana mkuu Mayalla
 
Lakini si ni kweli chadema imesinyaa kila kona kwa sababu ya uongozi mbovu?
 
Pamoja na ujinga wa wazi kabisa kuonyeshwa na mleta mada ila nimekuwa shocked baada ya kuona nguli na mchambuzi maarufu mwenye weredi mkubwa mwandishi wa habari mkubwa hapa Tz Pascal Mayalla ku like huu uzi,nimekushangaa sana mkuu Mayalla
Hii like ya Myalla inatakiwa ikufundishe kuwa wewe Lugeye ni mjinga wa mwisho
 
Hapo tayar buku 7 yako unayo tayar
 
unakatwa mshahara wako anapewa waitara, manake wanazopewa kutoka kwenye makato ya kodi zetu, yale hayana kodi, anayetoa anakula commission yake, sasa we furahia wakati hospitalini kwenu hata piriton hakuna,
 
Jikite kwenye maada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…