Kutokana na hamahama hii, Mbowe azomewe?


Why ushauri kama huo usimpe lipumba au cheyo?
 
Mbowe alipo kula hela ya fisadi Lowasa bilion 7+ Mbowe nilimwogopa...

Ukitaka kujua mziki wa Mbowe mulize @dr slaa hadi jamaa kambia nchi

Bet ya lowasa ilikuwa sahihi kabisa
 
Anayestahili kuzomewa ni huyu kichaa anayetuongoza, Mr: slow slow pamoja na timu yao kwa ujumla! Elewa wanaohama wanasumbuliwa na upepo wa njaa, hili ni jambo la muda tu, baada ya siku mambo yatakaa sawa! Mbowe si tatizo. Kati ya watu wenye njaa nawe ni mmojawapo, nenda kapokee buku 7 zako. Mbowe endelea kupambana wengi tupo nyuma yako brooo!
 
Unamanisha kuhama kwa Sumaye ,Lowasa ilikuwa ni njaa?
 
Chadema lini imepoteza mvuto? Hiyo hamahama unayoeleza hapa ni ipi? Kuna tofauti kubwa kati ya "kuhama" na "kuhamishwa"...nenda kajipange upya. Na huu upuuzi wenu wadaka makombo wa kumshupalia Mbowe kwa hoja ya kukaa madarakani muda mrefu, huku mkiwapandisha ndege na kuwapa posho akina Mrema, John Momose na Dovutwa mkome!
 
Tangu chaguzi za marudio zianze ,chadema imeshinda kata moja tu, kwa maoni yako hii ni salama??
 
Chedema ni arsenal ya mbowe
 
Tangu chaguzi za marudio zianze ,chadema imeshinda kata moja tu, kwa maoni yako hii ni salama??
Ukweli ni kwamba kwa msukumo wa nguvu ya dola, kichaa alishatoa amri ya kwamba Mkurugenzi asitangaze ushindi kwa upinzani na hata kama watashinda! na kule palipo tangaza mshindi wa chama pinzani(Mbeya) Si ni hadi waliomba msamaha kwa kutangaza matokeo yale!
 
Hii ni uongo wa chadema kujipa matumaini hewa.
 

Not kichaa @ Jiwe must go and leave our democracy alone? WTF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…