Kutokana na hamahama hii, Mbowe azomewe?

Ujinga mzigo!
 
Kinachotokea kinazidi kuimarisha chama chake na kufanya "wanaopora" ushindi mchana kweupe kwa kuvaa nguo za polisi au tume kuanza kujichimbia kaburi. Wananchi ambao sio wanyonge kama baadhi ya watu wanavyowaita wataonyesha ngumu yao. "Saa ya ukombozi ni Sasa" Rev Christopher Mtikila RIP
 
Kwa kujipa moyo mko vizuri
 
we bwege unamuota Mbowe mda wote,unataka akuolee dada zako
 
Lakini viongozi wanaosababisha haya ndani ya Chadema wapo tu.

Wanachama nao wapo tu badala ya kuwataka wajihuzuru!!!
 
CCM
 
Wewe una akili kweli? Hivi hata hotuba za mh Mbowe huna, sio kazi yake kuzuia utashi wa mtu. Mzomewe nyie CCM mliomdhihaki Lowassa kuwa fisadi sasa mmempokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oil chafu imemiminwa kwenye burudoza jipya
 
ukiwa na akili maana yake unakua na uwezo wa kutofautisha kati ya voluntary na involuntary actions. Hakuna aliyehama CDM kwa hiyari yake ni either ametishiwa maisha, ametishiwa kutorejea ktk nafasi yake ktk uchaguzi ujao (kuiba kura by any means possible), au amepewa rushwa AUNGE MKONO JUHUDI HEWA.
 
Akina Lisu ,Mbowe ,Mdee kumbe hawatishiwi maisha ndiyo maana hawahamii ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shughuli zote za kisiasa zinafanywa na ccm pekee we bado unataka mvuto kwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…