Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 317
- 495
Tumechoka kuibiwa akili zinaturudi taratibu ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wabongo wamestuka now Kayumba ndio habari ya mjini. Hadi Naibu Waziri WA elimu last month aliongea
π€£π€£π€£π€£π€£Tumechoka kuibiwa akili zinaturudi taratibu ππ€£
100% FactShida sio kingereza ila ni mtaala wetu,both Ems na kayumba znahubir kitu kimoja,ambacho Ems anakipata kwa gharama kubwa tofaut na kayumba and final outcome ya wote ni vyuo vikuu vyetu na course zetu hizi hzi za kukariri!! Na mwsho wa sku wote wanakua majobless.
Kwa hiyo umekubali kwamba Ems wanakuwa mashoga ila wao wa Ems wanakuwa Sio Malaya ila wao ndio wanatoa hela ili waliwe Sio?Almost mashoga wote wanaojiuza online wamesoma kayumba.
Aggrey kasoma EM gani?
Ant Asu kwao Magomeni Mapipa kasoma EM gani?
Ant Suzy kasoma EM gani?
Na kuna tofauti ya shoga na malaya wa kishoga. Hao malaya wa kishoga ni wamesoma kayumba, wanajiuza club na profession yao ni kulalwa. Hakuna mwanaume asome Feza kisha umkute Kitambaa Cheupe ameshikilia pochi anajishebedua, wanafanya kwa siri na sio kwa umalaya, ila hao waliosoma Mwananyamala SM utawakuta wamejichubua na kuvaa wigi wanarembua.
Mitaani uko Buza wanaaoongoza kutoa mapenzi kinyume cha maumbile ni vilaza tu hata hawajawahi kanyaga ardhi ya EM. Washereheshaji wa kitchen parties, birthdays na "shughuli" uko kwa wavaa vijora kwa sasa ni mashoga mitaa ile jamii ya Keko na Kigogo na wamesoma shule hizohizo ambazo darasa wako 200 wenye Division 4 ni 120.
Humkuti mwanaume kasoma St. Francis eti anasherehesha shughuli akiwachamba wabaya wake.
Alumni wa Kaizilege ajiuze namna hii?View attachment 3206005 Wazazi wenye roho mbaya mnajifariji sana
Ufaulu wa juu sana unaupimaje, maana vilaza hata wakiambulia Division II huwa wanadai wamefaulu ufaulu wa juu sana.ulipata malezi ya kimayai mayai...Sisi tumesoma Kayumba schools from the scratch tumelelewa through the hardest ways possible. Tumefaulu mpk kumaliza elimu ya juu. School yetu walimu walikuwa hawaingii kabisa mwaka unaisha kwenye somo mmefundishwa topics 3 tu katika topics 14-15 mlizotakiwa kujifunza na bado tulifaulu ufaulu wa juu kabisa
Kwa sababu pia shule za Kayumba ni nyingi sana Tanzania kulinganisha na Em ndo maana hayo pia unayaona na sio kwa sababu ya shule aliyosoma ila sababu ni malezi ya kwa wazazi wake na jamii inayomzunguka au unaamini kwamba Kayumba wanafundisha ushoga na umalaya mkuu?Almost mashoga wote wanaojiuza online wamesoma kayumba.
Aggrey kasoma EM gani?
Ant Asu kwao Magomeni Mapipa kasoma EM gani?
Ant Suzy kasoma EM gani?
Na kuna tofauti ya shoga na malaya wa kishoga. Hao malaya wa kishoga ni wamesoma kayumba, wanajiuza club na profession yao ni kulalwa. Hakuna mwanaume asome Feza kisha umkute Kitambaa Cheupe ameshikilia pochi anajishebedua, wanafanya kwa siri na sio kwa umalaya, ila hao waliosoma Mwananyamala SM utawakuta wamejichubua na kuvaa wigi wanarembua.
Mitaani uko Buza wanaaoongoza kutoa mapenzi kinyume cha maumbile ni vilaza tu hata hawajawahi kanyaga ardhi ya EM. Washereheshaji wa kitchen parties, birthdays na "shughuli" uko kwa wavaa vijora kwa sasa ni mashoga mitaa ile jamii ya Keko na Kigogo na wamesoma shule hizohizo ambazo darasa wako 200 wenye Division 4 ni 120.
Humkuti mwanaume kasoma St. Francis eti anasherehesha shughuli akiwachamba wabaya wake.
Alumni wa Kaizilege ajiuze namna hii?View attachment 3206005 Wazazi wenye roho mbaya mnajifariji sana
Kuna tofauti kati ya kusoma/ kufundisha kwenye darasa lenye wanafunzi 130 na darasa la wanafunzi 30/40. Kuna utofauti mkubwa sana.
Aggrey alikuwa anatoa hela aliwe?Kwa hiyo umekubali kwamba Ems wanakuwa mashoga ila wao wa Ems wanakuwa Sio Malaya ila wao ndio wanatoa hela ili waliwe Sio?
Ooh, kwahiyo aliyesema EM kuna mashoga ndio aelewe sasa mashoga wanafundishwa wengi sana mitaani uko na wengine hata hawajawahi pata Division III ni zero na four za mwisho.Kwa sababu pia shule za Kayumba ni nyingi sana Tanzania kulinganisha na Em ndo maana hayo pia unayaona na sio kwa sababu ya shule aliyosoma ila sababu ni malezi ya kwa wazazi wake na jamii inayomzunguka au unaamini kwamba Kayumba wanafundisha ushoga na umalaya mkuu?
Kama lengo ni watoto wafahamu kiinglish, basi hakuna sababu ya kuwapeleka huko.Yani Dunia inakuelemea ukiwa katikati ya wanaojua Kingereza π π π sa hiyo huna wa kumlaumu. Uko peke yako, hujiwezi. Hadi Tell us about yourself inakutoa Jasho πππππ π
Hawa watu wana vituko mkuu.Ooh, kwahiyo aliyesema EM kuna mashoga ndio aelewe sasa mashoga wanafundishwa wengi sana mitaani uko na wengine hata hawajawahi pata Division III ni zero na four za mwisho.
Hoja ya mashoga ikiletwa hapa wanaoingia matopeni ni kayumba.
Sawa nimekubali wanao soma Ems wao wanakuwa mashoga ila tofauti Yao na WA Kayumba ni kwamba wa Ems wao wanakuwa wanaliwa bure ila WA Kayumba ndio wanakuwa wanaliwa Kwa hela so ndio?Aggrey alikuwa anatoa hela aliwe?
Aunt Asu je?
Ant Suzy je?
Hata kujiita Aunt walishindwa, wakajiita Ant eti wanamaanisha "shangazi" sababu ya elimu ya hapa na pale.
Hawa wote walikuwa wadangaji wa kubangaiza kupata chochote kitu kwa kuuza puru zao. Wote kayumba hao, mtu asome Ahmes alafu ajiuze we uliona wapi.
100% FactKama lengo ni watoto wafahamu kiinglish, basi hakuna sababu ya kuwapeleka huko.
Sisi waafrika waajabu, mmekusanyika watanzania lakini mnafanya "presejtation" kwa kiinglish.
Nasema kama tunakwenda shule hixo ili kufahamu kiinglish, bado tuna safari ndefu ya kujikomboa.
Mtu kasoma English medium anaona shule za kata ni bora zaidi kumpeleka mwanae. Kuna vitu vingine ni imaginable tu πππBinafsi sijaelewa hii kampeni ni ya nini na ni kwa maslahi ya nani.
Je inaendeshwa na victims (watoto waliosomeshwa EMs wakalost kwenye maisha) au inaendeshwa na wazazi (wenye kupenda watu wafanane/wafuate mitazamo yao)
Ems ndio watoto wenye elements za kishoga WaPo wengi hata mbu akiingia darasani watoto wanalia darasa Zina na ni darasa la Saba Hao. Kayumba wengi wagumuOoh, kwahiyo aliyesema EM kuna mashoga ndio aelewe sasa mashoga wanafundishwa wengi sana mitaani uko na wengine hata hawajawahi pata Division III ni zero na four za mwisho.
Hoja ya mashoga ikiletwa hapa wanaoingia matopeni ni kayumba.
Nadhan umeelewa vibaya, hilo unalozungumza ni moja kati ya vitu vingi vizuri vinavyopatikana huko ukilinganisha na kwingine.Kama lengo ni watoto wafahamu kiinglish, basi hakuna sababu ya kuwapeleka huko.
Sisi waafrika waajabu, mmekusanyika watanzania lakini mnafanya "presejtation" kwa kiinglish.
Nasema kama tunakwenda shule hixo ili kufahamu kiinglish, bado tuna safari ndefu ya kujikomboa.
Hakika dada waambie wabishi hawa.Nadhan umeelewa vibaya, hilo unalozungumza ni moja kati ya vitu vingi vizuri vinavyopatikana huko ukilinganisha na kwingine.
Usiombe yakukute kwenye Presentation za Chuo pale mbele π π π
π π π π π π umenikumbusha mbali sanaAlafu ukiwa mbele pale unaanza kuona watu wote ni wapya.
Una maanisha 2,000,000 kwa mwezi au LAKI MBILI?!Bila kupepesa macho... Kama mtu una kipato kuanzia 200,000 kwa mwezi na unasomesha mtoto wako kayumba wewe ni mpumbavu na masikini wa akili na roho, wewe ni mbinafsi una roho mbaya ya kuua future ya mototo...
Hakuna namna unaweza kutoa hoja au sababu yoyote ile ya kumsomesha mtoto kayumba...
English medium hata ikiwa na walimu wa kubabaisha lakini haiwez kufanana kielimu na shule za kata...
WaTz mnapenda sana vya bure ndio maana mnakufa masikini na mnaishi maisha ya dhiki na tabu...