Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mnavyojadili hizo shule zote mkae mjue Tanzania imerithi mtaala mbovu wa kikoloni.
Shule yoyote utayosoma utakuwa zao la mtaala wa kikoloni.
Kingine wa EM wanakutana na Kayumba vyuoni na kazini.
Wawekezaji wa EM walisahau kuwekeza Vyuo vyenye ubora wa juu ili huyo wa EM aende huko. Sasa unasoma EM halafu unaenda SUA mnakutana na kayumba, baadae mnaajiriwa halmashauri kama maafisa waandamizi( what is 5he essence of em).
EM graduate waanze kujitofautisha kwa vitendo sio kwa maneno ktk sekta zote kama
Michezo
Sanaa
Sayansi
Uchumi
Ujasiliamali
Muziki
Academic
Nk
Mpaka sasa shule zina miongo 2 ila zao la hao wahitimu halijajidhihirisha bayana.
Watu wa EM lazima muwe analytical mnapotetea hoja zenu.
Kayumba ipo wazi , ubora wao ni wa kuunga unga. Naona EM ni kwenye matokeo tu ya NECTA what about street life ?