Time will tell πππWho are you to judge?
Karikooo pale Nani anaongea kingereza kuna watu hata kuandika vizuri hawajui ila pesa mingi.Mkuu sio kwamba kujua kingereza ndo kuwa na akili, bali kujua kingereza kunasaidia sana kwenye elimu na maisha ya kawaida.
Inshort hakikwepeki
Hapo ndo tabu inapoanzia from EMS to secondary ya Kata anakutana na kayumba kama wote aha ha ha ha Watz tumechanganyikiwaMtu kasoma English medium anaona shule za kata ni bora zaidi kumpeleka mwanae. Kuna vitu vingine ni imaginable tu πππ
Hawa watoto wanalelewa vibaya sana. Wanakuwa kama kuku broiler.Karikooo pale Nani anaongea kingereza kuna watu hata kuandika vizuri hawajui ila pesa mingi.
100% EMS zinaandaa wafanyakazi siyo watu wanaoweza kujitegemea..ushahidi upo mtoto darasa la sita EMS hawezi kurudi nyumbani peke Yake pathetic wapo laini sana
Nikupe pole kwa kuchukulia vitu ndivyo sivyo π π π πSio ukayumba Bali uzembe wako mwenyewe!
Unasomaje Hadi form four to six huna uwezo wa kuongea kiingereza Cha kawaida!!?
Na presentation za chuo no rahisi coz unakua umeshasoma na kukariri content kwahiyo unasema like ulicho display kwenye power point !!
Uzembe sana kushindwa ku present materials!!
Anasema kweli mbn tupo tumepita Kayumba na tupo vizuri tu mkuuNikupe pole kwa kuchukulia vitu ndivyo sivyo π π π π
Utofauti ujidhihirishe ktk mambo niliouliza/hoji pale juu sio kazini kwangu. Kwa ujumla sio mtu mmoja, huwezi fanya hitimisho la jambo kuwa zurj au baya kwa taarifa za mtu mmoja. Impact yao kwa ujumla kwenye Taifa, kama haipo basi kuna shida. Mfano mzize,baka, hawa ni wanamichezo sasa ubora wao umetokana na malezi mzuri ya EM school ? Kwa hio nataka mifano ya watu walio excel kwa mfumo wa EM na wakaonesha utofauti wa mtu aliemulia kayumba.Huko unakoishi ama kufanya kazi huuoni utofauti kati ya wahitimu wa hizo shule?
Kutokupenda watoto tuβ¦ Kama hawakutaka kuwazaa wangeacha! Understandable kwa mzazi ambaye hana hela (mfano kwa case ya mimi mwenyewe, it was okay kusoma kayumba)Mtu kasoma English medium anaona shule za kata ni bora zaidi kumpeleka mwanae. Kuna vitu vingine ni imaginable tu πππ
Mbona kuna shule za serikali nzuri tu ukilinganisha na Em'sKutokupenda watoto tu⦠Kama hawakutaka kuwazaa wangeacha! Understandable kwa mzazi ambaye hana hela (mfano kwa case ya mimi mwenyewe, it was okay kusoma kayumba)
Hizo EM zina unafuu ukilinganisha na Kayumba, We darasa la wanafunzi 120 vs darasa la wanafunzi 40 watafanana lini?
Kuhusu kufanikiwa kimaisha ni suala mtambuka.
Ningesoma EM ningekuwa mtu mwingine kabisa tofauti, hapa enyewe niko tofauti!!! Kwenye maisha tusiignore power ya exclusiveness.
Chache.. Sasa sote tutaenda kusoma huko?Mbona kuna shule za serikali nzuri tu ukilinganisha na Em's
Sio amelelewa kimayaiβ¦ulipata malezi ya kimayai mayai...Sisi tumesoma Kayumba schools from the scratch tumelelewa through the hardest ways possible. Tumefaulu mpk kumaliza elimu ya juu. School yetu walimu walikuwa hawaingii kabisa mwaka unaisha kwenye somo mmefundishwa topics 3 tu katika topics 14-15 mlizotakiwa kujifunza na bado tulifaulu ufaulu wa juu kabisa
Chuo Gani ulisoma?ulipata malezi ya kimayai mayai...Sisi tumesoma Kayumba schools from the scratch tumelelewa through the hardest ways possible. Tumefaulu mpk kumaliza elimu ya juu. School yetu walimu walikuwa hawaingii kabisa mwaka unaisha kwenye somo mmefundishwa topics 3 tu katika topics 14-15 mlizotakiwa kujifunza na bado tulifaulu ufaulu wa juu kabisa
Wewe ni Mimi ninajuta mpaka leo kwanza niligoma wewe unanitoaje shule nzuri walimu wanafundisha vizuri tena tunabembelezwa kusoma tusome tufaulu unanipeleka lishule mwalimu anakuja siku ya pepa la mwisho?nikakutana ufundishaji mmbovu sanaaa.
Hakika mkuuWewe ni Mimi ninajuta mpaka leo kwanza niligoma wewe unanitoaje shule nzuri walimu wanafundisha vizuri tena tunabembelezwa kusoma tusome tufaulu unanipeleka lishule mwalimu anakuja siku ya pepa la mwisho?
Yaan mwalimu tangu shule mnaanza hamumjui mnakuja kumjua siku ya mtihani wa mwisho hizo sehemu zingine zooote mnajisomea wenyewe topic zote mnaenda chakalamu huko tuition za mtaani, mitihani sasa ufanyaji wake daah nilipoteza sana kusoma kayumba
Wazazi walikosea sana kunirudisha kayumba niligoma wakanilazimisha eti nikasome hivyo hivyo sasa unasomaje shule haina walimu na walimu hawafundishi?
Miaka yote niliyosoma kayumba hakuna nilicho-gain ila miaka niliyosoma decent school nili-gain vitu vingine ambavyo hata leo naweza nikamwelekeza mtu akashangaa sana
Hata kufanya research kwenyewe hujui, si utanichosha bure tu.Titok algorithns imeniletea clip za IT tiktoker wa Africa so kila mda naona wakenya
Potezea.Hata kufanya research kwenyewe hujui, si utanichosha bure tu.