Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

Wanaozisifia hizi kayumba nawashangaa sana.wao hawajiulizi Kwa Nini mtu yeyote mwenye uwezo hapeleki mwanae kusoma kayumba?
 
Mkuu sio kwamba kujua kingereza ndo kuwa na akili, bali kujua kingereza kunasaidia sana kwenye elimu na maisha ya kawaida.
Inshort hakikwepeki
Karikooo pale Nani anaongea kingereza kuna watu hata kuandika vizuri hawajui ila pesa mingi.

100% EMS zinaandaa wafanyakazi siyo watu wanaoweza kujitegemea..ushahidi upo mtoto darasa la sita EMS hawezi kurudi nyumbani peke Yake pathetic wapo laini sana
 
Mnaziponda shule za kayumba ajabu,walimu waliojaa EM's wanatoka shule za Kayumba (Product ya Kayumba), maajabu hayawezi kuisha duniani. Na kuhusu kujua kiingereza mbona watu wengi wanapita Kayumba na kidhungu kinapanda vizuri tu
 
Mtu kasoma English medium anaona shule za kata ni bora zaidi kumpeleka mwanae. Kuna vitu vingine ni imaginable tu 😁😁😁
Hapo ndo tabu inapoanzia from EMS to secondary ya Kata anakutana na kayumba kama wote aha ha ha ha Watz tumechanganyikiwa
 
Karikooo pale Nani anaongea kingereza kuna watu hata kuandika vizuri hawajui ila pesa mingi.

100% EMS zinaandaa wafanyakazi siyo watu wanaoweza kujitegemea..ushahidi upo mtoto darasa la sita EMS hawezi kurudi nyumbani peke Yake pathetic wapo laini sana
Hawa watoto wanalelewa vibaya sana. Wanakuwa kama kuku broiler.
 
Sio ukayumba Bali uzembe wako mwenyewe!

Unasomaje Hadi form four to six huna uwezo wa kuongea kiingereza Cha kawaida!!?

Na presentation za chuo no rahisi coz unakua umeshasoma na kukariri content kwahiyo unasema like ulicho display kwenye power point !!

Uzembe sana kushindwa ku present materials!!
Nikupe pole kwa kuchukulia vitu ndivyo sivyo 😅😅😅😅
 
Huko unakoishi ama kufanya kazi huuoni utofauti kati ya wahitimu wa hizo shule?
Utofauti ujidhihirishe ktk mambo niliouliza/hoji pale juu sio kazini kwangu. Kwa ujumla sio mtu mmoja, huwezi fanya hitimisho la jambo kuwa zurj au baya kwa taarifa za mtu mmoja. Impact yao kwa ujumla kwenye Taifa, kama haipo basi kuna shida. Mfano mzize,baka, hawa ni wanamichezo sasa ubora wao umetokana na malezi mzuri ya EM school ? Kwa hio nataka mifano ya watu walio excel kwa mfumo wa EM na wakaonesha utofauti wa mtu aliemulia kayumba.
Titok algorithns imeniletea clip za IT tiktoker wa Africa so kila mda naona wakenya, sasa wakowapi watanzania ? kayumba zimeshindwa kutoa watu competent kama hao, kwa nini sasa gape halijazibwa na EM graduate ? Nadhani umenielewa, na unaweza sasa nijibu vizuri sio kama ulivyojibu, kama wewe ni zao lao basi nawe unajibu sawa tu na wa kayumba. Nilitegemea unielimishe kwa mifano sio kama ulivyojibu.
Jaribu kujibu vizuri.
 
Mtu kasoma English medium anaona shule za kata ni bora zaidi kumpeleka mwanae. Kuna vitu vingine ni imaginable tu 😁😁😁
Kutokupenda watoto tu… Kama hawakutaka kuwazaa wangeacha! Understandable kwa mzazi ambaye hana hela (mfano kwa case ya mimi mwenyewe, it was okay kusoma kayumba)

Hizo EM zina unafuu ukilinganisha na Kayumba, We darasa la wanafunzi 120 vs darasa la wanafunzi 40 watafanana lini?

Kuhusu kufanikiwa kimaisha ni suala mtambuka.

Ningesoma EM ningekuwa mtu mwingine kabisa tofauti, hapa enyewe niko tofauti!!! Kwenye maisha tusiignore power ya exclusiveness.
 
Mbona kuna shule za serikali nzuri tu ukilinganisha na Em's
 
ulipata malezi ya kimayai mayai...Sisi tumesoma Kayumba schools from the scratch tumelelewa through the hardest ways possible. Tumefaulu mpk kumaliza elimu ya juu. School yetu walimu walikuwa hawaingii kabisa mwaka unaisha kwenye somo mmefundishwa topics 3 tu katika topics 14-15 mlizotakiwa kujifunza na bado tulifaulu ufaulu wa juu kabisa
Sio amelelewa kimayai…
Sema wewe wazazi wako walikuwa choka mbovu ukapambana mwenyewe
Halafu tofautisha kufaulu na kupasi wakati unakikiri mlikuwa hamfundishwi darasani
Wewe ulipasi
 
ulipata malezi ya kimayai mayai...Sisi tumesoma Kayumba schools from the scratch tumelelewa through the hardest ways possible. Tumefaulu mpk kumaliza elimu ya juu. School yetu walimu walikuwa hawaingii kabisa mwaka unaisha kwenye somo mmefundishwa topics 3 tu katika topics 14-15 mlizotakiwa kujifunza na bado tulifaulu ufaulu wa juu kabisa
Chuo Gani ulisoma?
 
nikakutana ufundishaji mmbovu sanaaa.
Wewe ni Mimi ninajuta mpaka leo kwanza niligoma wewe unanitoaje shule nzuri walimu wanafundisha vizuri tena tunabembelezwa kusoma tusome tufaulu unanipeleka lishule mwalimu anakuja siku ya pepa la mwisho?

Yaan mwalimu tangu shule mnaanza hamumjui mnakuja kumjua siku ya mtihani wa mwisho hizo sehemu zingine zooote mnajisomea wenyewe topic zote mnaenda chakalamu huko tuition za mtaani, mitihani sasa ufanyaji wake daah nilipoteza sana kusoma kayumba

Wazazi walikosea sana kunirudisha kayumba niligoma wakanilazimisha eti nikasome hivyo hivyo sasa unasomaje shule haina walimu na walimu hawafundishi?

Miaka yote niliyosoma kayumba hakuna nilicho-gain ila miaka niliyosoma decent school nili-gain vitu vingine ambavyo hata leo naweza nikamwelekeza mtu akashangaa sana
 
Hakika mkuu

Tukisema haya tunaonekana mara ndio sisi wenye shule, mara watoto wa mama, sijui...

Shule za serikali ni za kipumbavu kuliko kitu chochote yani labda uwe na upeo wa hali ya juu wa kukalili kama walivyo maprofesa wetu hawa walio soma kalimbombwa praimarii
 
Back
Top Bottom