LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Difi litagoma kukutoka ikifika tarehe 01 Niovemba, 2020Usijitoe ufahamu muhusika ni MBOWE na dereva wa lisu JPM Hana shida na takataka hiyo,akitaka hata saivi anampoteza wakazi gani kwanza?
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia vyombo vya habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.
Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo zifanye kazi.
Itakuwa furaha sana siku Tundu Lissu akifika hapa Idukilo. Kwa kweli aje tu ajaribu hata dakika 20 tu atapata kura kama zote!
Waache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!
Tchao!
Tunalifanyia kazi
This is the only strategy! Kanda pangeni timu za nyumba kwa nyumba! Chademadigital sambaza taarifa kwa wanachama kwenye database yenu Mwanahabari Huru
Hahahaaaa....... Atumie basi la Nyalandu.
Chadema bhana!
Waoga sana CCM, haitasaidia kitu zaidi ya kujinajisi
Wana Sacco's wanazidi kuweweseka
Nia yetu ni moja tuuu, ni kuitoa ccm maana
1:Nia ya kuitoa ccm tunayo!
2: Uwezo wa kuitoa ccm tunao!
3: Sababu za kuitoa ccm tunazo!
Kilichobaki sasa ni kuitoa!
Sasa unashangaa nini wewe lumumba?
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Kwa hiyo litakutoka?Ndoto za alinacha
Sema niniJPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Ila litakuwa gumu!Subiri baada ya uchaguzi uje uniulize
Nice strategy indeed!Tutabena simu na laptops huko kwenye nyumba kuwainyesha hotuba za Tundu Lissu tukiweza.
Wazo: Kutumia njia mbadala kufikisha ujumbe kwa wananchiTutabena simu na laptops huko kwenye nyumba kuwainyesha hotuba za Tundu Lissu tukiweza.
Amekatazwa Na Nani
Tume Ya Uchaguzi Inasimama Katikati Kila Chama Kipate Haki
Hahahahaahhah Lissu hafai hata kuwa kiongozi wa mifugo pale Ngorongoro.
Sawa mkuu - ila litakuwa tu gumu!Utaangalia mwenyewe baada ya uchaguzi Kama litakuwa gumu au laini
Tunakoelekea huyu dikteta atazima mitambo ya tv, redio na mitandao yoteWaache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!
Kissy haitaji kampeni ya nyumba kwa nyumba. Huu udhalimu tu unaofanywa dhidi yake ni kampeni tosha. Leo hii hadi watu wanafunguka kwenye pages za TBC kuponda anachofanyiwa Lissu unadhani mchezo???Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.
Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo zifanye kazi.
Itakuwa furaha sana siku Tundu Lissu akifika hapa Idukilo. Kwa kweli aje tu ajaribu hata dakika 20 tu atapata kura kama zote!
Waache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!
Tchao!