Uchaguzi 2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

Uchaguzi 2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

Huu ukatili unaofanywa na serikali dhidi ya wapinzani haukubaliki. Chadema waione hii kama fursa, huu ni wakati wa kuujuza umma wa kitanzani juu ya uharamia huu.pia citizen journalism itumike zaidi.waliopo kwenye timu ya kampeni watumie social network ipasavyo.pia redio na TV za nchi jirani zitumike zaidi.TBC muda wote wanarusha mikutano ya ccm, wapinzani msikae kimya kwenye majukwaa, wapesheni umma
 
Usijitoe ufahamu muhusika ni MBOWE na dereva wa lisu JPM Hana shida na takataka hiyo,akitaka hata saivi anampoteza wakazi gani kwanza?
Difi litagoma kukutoka ikifika tarehe 01 Niovemba, 2020
 
Kwa jinsi CCM wanavyobugi stepu hata kabla ya kampeni kuanza rasmi, basi yajayo yanapendeza. Vyombo vya habari kama BBC, CCN na DW wameanza tayari kuponda hatua ya serikali kuwazuia wasitangaze mpaka wapate ruhusa maalumu. Twende pamoja.
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia vyombo vya habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.

Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo zifanye kazi.

Itakuwa furaha sana siku Tundu Lissu akifika hapa Idukilo. Kwa kweli aje tu ajaribu hata dakika 20 tu atapata kura kama zote!

Waache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!

Tchao!
Tunalifanyia kazi
This is the only strategy! Kanda pangeni timu za nyumba kwa nyumba! Chademadigital sambaza taarifa kwa wanachama kwenye database yenu Mwanahabari Huru
Hahahaaaa....... Atumie basi la Nyalandu.

Chadema bhana!
Waoga sana CCM, haitasaidia kitu zaidi ya kujinajisi
Wana Sacco's wanazidi kuweweseka
Nia yetu ni moja tuuu, ni kuitoa ccm maana

1:Nia ya kuitoa ccm tunayo!

2: Uwezo wa kuitoa ccm tunao!

3: Sababu za kuitoa ccm tunazo!

Kilichobaki sasa ni kuitoa!
Sasa unashangaa nini wewe lumumba?
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
 
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Sema nini
Na yeye inafaa aonje utamu wa kutandikwa kama alivyoagiza Lisu atandikwe.
 
Tutabena simu na laptops huko kwenye nyumba kuwainyesha hotuba za Tundu Lissu tukiweza.
 
Amekatazwa Na Nani
Tume Ya Uchaguzi Inasimama Katikati Kila Chama Kipate Haki

Tume ya uchaguzi ipi na unajuwa process ya uchaguzi inaanza wakati gani kwani hao waliokuwa wanaoneshwa live uchaguzi wao leo siyo chama cha Siasa kama vyama vingine hiyo tume nimesemaje na matumizi ya kodi ya watanzania na moja ya chama peke yake
 
Waache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!
Tunakoelekea huyu dikteta atazima mitambo ya tv, redio na mitandao yote
 
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.

Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo zifanye kazi.

Itakuwa furaha sana siku Tundu Lissu akifika hapa Idukilo. Kwa kweli aje tu ajaribu hata dakika 20 tu atapata kura kama zote!

Waache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!

Tchao!
Kissy haitaji kampeni ya nyumba kwa nyumba. Huu udhalimu tu unaofanywa dhidi yake ni kampeni tosha. Leo hii hadi watu wanafunguka kwenye pages za TBC kuponda anachofanyiwa Lissu unadhani mchezo???

Lissu ajiandae tu kuapishwa. Udhalimu na unyama unaofanywa dhidi yake kuanzia kumpiga risasi na haya yote ni kampeni tosha dhidi yake!
 
Back
Top Bottom