LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Huu ukatili unaofanywa na serikali dhidi ya wapinzani haukubaliki. Chadema waione hii kama fursa, huu ni wakati wa kuujuza umma wa kitanzani juu ya uharamia huu.pia citizen journalism itumike zaidi.waliopo kwenye timu ya kampeni watumie social network ipasavyo.pia redio na TV za nchi jirani zitumike zaidi.TBC muda wote wanarusha mikutano ya ccm, wapinzani msikae kimya kwenye majukwaa, wapesheni umma