chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.
Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu