Nawaaminia, hamshindwi kumpulizia moshi usoniHuyu jamaa alitukimbiza na masela Daslamu tukahamia Arusha kipindi anafanya msako...eti kisa tunakula mjani sasa amaletwa tena huku...ngoja tuone ataibuka na nini🐼
Sasa hivi hakuna viroba vya kumtia mtu uchizi ajiandamanishe bureWamtoe haraka asije sababisha maandamano na vurugu kubwa huko Arusha.Apangwe Tabora.
Hoja yako ina mantiki kubwaMkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka ulaya na marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma. Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Usiwe na hofu, ubalozi wa Marekani unafatilia kwa ukatibu nyendo zake.Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka ulaya na marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma. Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Acha unyumbu wewe, hii ni ramli chonganishi, Makonda siyo mjinga kiasi hichoMkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka ulaya na marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.