Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

• Mda mwingine tujaribu kupunguza chuki..... Sioni faida yakumusema huyu jamaa kila sekunde..

• Ndani ya Siku mbili hizi, Ni Zaidi ya Threads 10, anajadiliwa makonda... [emoji3525][emoji3525]
Watanzania acheni kuziita chuki tuhuma za viongozi toka kwa wananchi.

Wacheni viongozi wajitetee wenyewe
 
Jiji la Arusha litaendelea kupaa kimaendeleo na kuendelea kuwa kivutio cha watalii Barani Afrika na katika ukanda huu wa Afrika mashariki.watalii kutoka Marekani wataendelea kumiminika na kuingia ndani ya jiji la Arusha kutoka kila pembe ya Dunia ikiwepo Marekani yenyewe.watalii wanachohitaji ni amani,usalama,huduma nzuri na urahisi wa kufika.mambo ambayo serikali yetu imeweka na kuandaa vyema kabisa mazingira kwa ajili ya watalii kwa kuboresha miundombinu ya barabara kuelekea maeneo ya watalii,uwekezaji wa hoteli nzuri na zenye hadhi ya kimataifa ni wa uhakika hapa Nchini,usalama,amani na utulivu ni mkubwa sana hapa nchini.

Mheshimiwa Makonda ni Sahihi kabisa kumpeleka jiji la Arusha ili kwenda kuhakikisha jiji linakuwa na sura ya kimataifa hasa kwa kuzingatia kuwa ni kitovu cha utalii hapa nchini na lango la watalii.hivyo Mheshimiwa Makonda ni mtu pekee atakayelifanya jiji la Arusha kuwa na Taswira hiyo ya kimataifa.

Mwisho napenda kukukumbusha kuwa Marekani siyo Mungu wala sisi kama nchi hatupangiwi na Marekani juu ya nani awe kiongozi na awe mahali gani.kwa hiyo acheni mawazo ya kitumwa ya kuwaabudu .bilashaka Paschal Mayalla ungekuwa ni kiongozi wa ngazi ya Urais katika Taifa letu ungekuwa unakwenda kupokea maelekezo kutoka whitehouse Marekani namna ya kuongoza Taifa letu,ungekuwa unafanya maamuzi kulingana na matakwa ya wamarekani na wazungu.

Lakini napenda kukukumbusha kuwa Marekani haiwezi kukupenda ukibana maslahi yao na kuwa mzalendo wa Taifa lako. ni Marekani hao hao walimvamia na walimuua Saddamu Husseni kwa kisingizio kuwa anamiliki silaha za nyukilia .je uliziona hizo silaha? Ulionyeshwa? Vipi kuhusu mauaji na Gaddafi na fitina za mmarekani huyo huyo?
 
Na kwa vile Makonda amekuwa blacklisted na serikali ya marekani watalii toka Marekani watapewa angalizo na serikali yao kuwa makini wawapo Arusha kwa kuwa Governor wa Arusha ni muuaji ambaye haruhusiwi kukanyaga ardhi ya Marekani.
Kabisa, tuendelee kuchoma samaki aina ya nguru, ambaye ukimchoma, mtaa wa kumi watasikia harufu yake
 
Watanzania acheni kuziita chuki tuhuma za viongozi toka kwa wananchi.

Wacheni viongozi wajitetee wenyewe
• Sijakataa hoja yako....

• Makonda kupelekwa A. Town shida iko wapi?,

• Au makonda amegeuka kuwa ANACONDA??
 
So sad sana...... Hakuna asiye mkosaji hapa Duniani, kuna viongozi wahalifu kuliko makonda.
Sisi tunachoma samaki aina ya nguru(ananuka balaa) miksa ubani mashtaka na chumvi ya mawe, vitajibu tu
 
Na sisi Mwanza hatumtaki, tunamchomea nguru akae benchi
Wewe kama nani? Wewe mwaka huu ni lazima ufe na chuki zako.maana utaendelea kumwona Mheshimiwa Makonda akichanja mbuga katika mioyo ya watanzania kila uchwao
 
Wewe kama nani? Wewe mwaka huu ni lazima ufe na chuki zako.maana utaendelea kumwona Mheshimiwa Makonda akichanja mbuga katika mioyo ya watanzania kila uchwao
Kama atachanja mbuga, ni sawa, achanje tu, hata kuni, lakini akae mbugani, sio katika ofisi za umma
 
Sijui kwa nini raisi hakushauriwa kwenye hili. Makonda angeweza kupewa ukuu wa mkoa lakini sio Arusha.

Yeye ana doa tayari la kuondoa haki ya watu kuishi na sio yeye Wala serikali waliowahi kukana hili. Hata Magu pamoja na kuwa kipenzi chake, hili alilichukulia kwa uzito na akamtoa Makonda kwenye executive.

Mama ameingia mkenge ambao ni uchafu kwa hakika kwake.
Vingenvyo hii iwe ni exit door kwa huyu jamaa baada ya kuvurunda kule kwenye uenezi. Strategically, anaweza kuwa amepelekwa Arusha kama njia kuondokea moja kwa moja.

Magu pia aliitumia ya namna hii alipomuacha akagombea ubunge na baada ya hapo akasema Kila mkuu wa mkoa aliyeacha ukuu wa mkoa na kwenda kuomba ubunge, akikosa ndio kwa heri hatarudi kuwa mkuu wa mkoa.
 
Mashambulizi dhidi ya Makende ni makali sana, hayatakoma, usijihangaishe kuzuia mafuriko
Wavuta bangi aina yako hamuwezi mkabadilisha chochote kile zaidi ya kutakiwa tu muanze kufanya kazi halali na kuachana na biashara kama aliyokuwa akifanya Lema ya utapeli wa Magari
 
Kaa kwa kujiandaa kuwa miaka kadhaa mbele atakuwa ndiye Rais wetu
Ikulu sio pango la wezi na wauaji, kuwa maarufu alikuwa Lowassa, but the system (not the voters) said Noooo!!! The system must feed the public with the best candidate for public interest
 
yuko free kwenda huko uliko kutaja kwa sasa bila mbambamba yoyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…