Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Wewe una upumbavu kuanzia kichwani Hadi matrakooo ,napoyeza mda kujadiliana na wewe
• 🤔🤔🤔, Umefaidika nini baada ya kunitukana????.

• Sizani kama huu uzi ni wa matusi, kama unahoja naomba tuendelee,!!!!
 
Makonda atawanyoosha tu wenye kibri na jeuri huko Arusha, kiarusha ni kidogo sana kwa Dar and Mwz cities ila kana mambo, kuna watu wenye kibri sana, majambazi, wala unga na mauwaji ya wivu wa kimapenzi.
 
Hakuna lolote

Aende Arusha kisha arudi benchi.

Han akili huyu

Ile tamko pale uwanja wa ndege wakati wa kupokea ndege ndio kulikomwondoa kwenye uenezi.
usie mtaka unaletewa hadi getini pako......
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
Magufuli alikuwa na mwenezi mmoja tu miaka yote 5! Ila huyu sasa sijui shida ni nini? Watu wanarekebishika pia sio kuhamisha hapa kwa Makonda kachemka vibaya mno mda utaongea!
 
CHADEMA mmepagawa kabisa yaani,Threads 100 za makonda mshaziandika tangu apelekwe Arusha. Mbona hamjiamini..?
 
Tatizo la kufikiria kisiasa badala ya kufikiria kitaifa. Makonda siyo muda wenzetu wa Kenya watawakumbusha wageni kwamba huyu yuko kwenye list ya Marekani na Ulaya kama Muuaji na haruhusiwi kwenda nchi zao.

Hii haitasaidia wageni wetu wa Arusha na Mbuga zetu.

Wangempeleka huko Mwanza kwao.
Duh!...
 
Hao mnaowaita wahuni mnawaogopa hata kufanya uchaguzi huru na WA haki hamtaki. Mnawaogopa wahuni na matapeli, kwani wananchi si ndio wanaowachagua!
Ni mwisho wenu mliokuwa mnafanya kazi ya ujambazi na utapeli wa magali.nilazima mtafute kazi halali kwa sasa
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P

Wewe Paschal kwenye hii nchi hata uongozi wa ku brash viatu hutapata, mnafiki mkubwa wewe.
 
Tatizo la kufikiria kisiasa badala ya kufikiria kitaifa. Makonda siyo muda wenzetu wa Kenya watawakumbusha wageni kwamba huyu yuko kwenye list ya Marekani na Ulaya kama Muuaji na haruhusiwi kwenda nchi zao.

Hii haitasaidia wageni wetu wa Arusha na Mbuga zetu.

Wangempeleka huko Mwanza kwao.
Ile ndioo safari nipe miezi kadhaa langempa ubalozi tu
 
Makonda atawanyoosha tu wenye kibri na jeuri huko Arusha, kiarusha ni kidogo sana kwa Dar and Mwz cities ila kana mambo, kuna watu wenye kibri sana, majambazi, wala unga na mauwaji ya wivu wa kimapenzi.
Hana ubavu huo, aliweza wakati wa utawala wa jiwe, sasa hivi amechekecha kwenye chama tu wakam-flush, sasa hivi anatembea kwenye uzi mwembamba anajua mambo yako halijojo
 
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka ulaya na marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.

Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma. Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.

Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu

Hapa wamelurupuka
 
Ile ndioo safari nipe miezi kadhaa langempa ubalozi tu
Hiyo sio tiba! Anaweza kumpa Ubalozi siku akitua nchini kugombea Urais wananchi watamtaka na hautaamini! Hata Rais mteule wa Senegal alifungwa lakini wapi! Achana na Mungu!
 
Ni mwisho wenu mliokuwa mnafanya kazi ya ujambazi na utapeli wa magali.nilazima mtafute kazi halali kwa sasa
Kazi halali unafanya wewe kulamba makalio ya makonda inatosha. By the way, wanakulipa shilingi ngapi!?
 
Back
Top Bottom