Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Usiwe na hofu, ubalozi wa Marekani unafatilia kwa ukatibu nyendo zake.
Hata hivyo Dar kuna kesi imeripotiwa tayari polisi ya kumtishia kifo mfanyabiashara mmoja mdogo wake Ghalib wa GSM.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Mashoga ya Arusha wajiandae maana Makonda hapendi ujinga.

Kuna taarifa mashoga wa Arusha huwa wanaandaa party wanamwalika hadi meya
 
My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.
Naunga mkono hii paragraph yako. Ndani ya kipindi kifupi Makonda alikuwa tayari ameanza kuwafanya wananchi walo wengi (wapiga kura) waanze kuipenda CCM. Alikuwa ameanza kuifufua CCM ndani ndani ya mioyo ya wapiga kura.

Ukubwa wa mafuriko ya wanananchi (nyomi) kwenye kila sehemu alikopita, hayajawahi kutokea kwa kiongozi yo yote wa chama cho chote cha kisiasa hapa Tanzania. Alikuwa amewafunika kwa mbali hao wapinzani wakuu kutoka chama cha chadema na tulishuhudia mapovu yakiwatoka, wakilalamikia uteuzi wake kwenye nafasi hiyo. Waliona kuwa mtu huyu atatokomeza ndoto zao za kuchukua dola 2025.

Hivyo kuondolewa kwa Makonda kwenye kazi hiyo, chadema sasa wameshusha pumzi sambamba na wale wanafiki wa ccm waliotajwa na Makonda kwenye hotuba yake kwenye mapokezi ya ile ndege. Ni jambo jema kwake kwani alichokuwa anafanya ilikuwa inahatarisha usalama wake. Ni bora sana kwa usalama wake kwa kupewa hicho cheo cha uRC. Rais kafanya jambo jema kwake. Ni mchapakazi mzuri kwenye kila eneo. Tutegemee uchumi wa mkoa wa Arusha kupaa zaidi. Arusha haitakuwa na kero za wananchi, haitakuwa na mafisadi, wabadhilifu wa fedha za serikali, Arusha itakuwa ni ya Hapa Kazi Tu na kuwa mfano kwa mikoa mingine.

CCM ina watu wengj wenye vipaji vya kila aina. Hivyo wala hakuna wasi wasi wa kupata muenezi wa chama mwenye kiwango kikubwa. Na bado kwenye final match kuelekea uchaguzi wa 2025 ikibidi bado Makonda anaweza kupelekwa front line.
 
Arusha naona ni sahihi kwa makonda kuja huko, atakusanya mateja, wauza unga na watumiaji mirungi, wezi, waongo waongo na wapenda shotikati za maisha...arusha imekaa kihuni huni sana, utafikiri kizazi chake hakitokani na wazazi wawili wawili. mkoa umejaa wahuni wahuni, wezi, wala bangi na sigara.......Makonda si muumini wa vitu hivyo acha ajaribu kuwa mkuu wa mkoa wa huko....atafanya anayoyaweza na asiyoyaweza ataachana nayo hadi atakapotenguliwa tena😎
 
Tatizo la kufikiria kisiasa badala ya kufikiria kitaifa. Makonda siyo muda wenzetu wa Kenya watawakumbusha wageni kwamba huyu yuko kwenye list ya Marekani na Ulaya kama Muuaji na haruhusiwi kwenda nchi zao.

Hii haitasaidia wageni wetu wa Arusha na Mbuga zetu.

Wangempeleka huko Mwanza kwao.
Lema bhana,bado hujasema
 
Kwa namna hali ya dunia inavyokwenda sasa hivi, hakuna mzungu atakaewakataza wazungu wasije huku, wanataka kuja kwa wingi watushike patamu.
 
Mwache Makonda atumike, tukimchoka au tukimuona sasa hana faida na chama wala serikali, tutawachana nae.
 
Wewe na wajinga wenzio mnawaona wazungu kama miungu fulani sio?
Acheni shobo,wazungu wamekuja kutalii halafu wewe unaanza kuwaletea upumbavu wenu wa siasa za ccm na chadema!
Mpaka Rais anaigiza, unadhani hayo maigizo yalikuwa ya nini?
 
• Naona unatoa ya moyoni!

• Ebu nipe sababu za msingi kwa nini unamchukia makonda?? Pengine naweza kukuelewa unachotetea.
Mtu yeyote aliyesimamia ualifu lazima achukiwe, Makonda, Sabaya na mwingine sikuizi simsikii wote hao ni genge moja hawana sifa za kupewa uongozi nchi hii.
 
CHADEMA mmepagawa kabisa yaani,Threads 100 za makonda mshaziandika tangu apelekwe Arusha. Mbona hamjiamini..?
Ule ni mkoa wa kitalii angepelekwa Katavi huko au Simuyu hakuna ambaye angemfuatilia, ule mkoa una maslai mapana kwa taifa.
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
Umeuma na kupulizia.
Kwa Arusha hapana. That city is way underexploited, mji umepoteza karibu 15 years of progress wauache upumue. Arusha ni Shangai ya Tanzania.
Tangu enzi za mwalimu, private sector ilikuwa inaendesha Arusha ikisimamiwa kwa mbali kiusalama na serikali. Same as Shangai wakati wa Mao na St. Petersburg wakati wa USSR.
Some places were meant to be money-makers paradise na serikali kazi yake ni kukusanya share yake tu.
Please wasiisumbue tena Arusha, waiache.
 
Naunga mkono hii paragraph yako. Ndani ya kipindi kifupi Makonda alikuwa tayari ameanza kuwafanya wananchi walo wengi (wapiga kura) waanze kuipenda CCM. Alikuwa ameanza kuifufua CCM ndani ndani ya mioyo ya wapiga kura.

Ukubwa wa mafuriko ya wanananchi (nyomi) kwenye kila sehemu alikopita, hayajawahi kutokea kwa kiongozi yo yote wa chama cho chote cha kisiasa hapa Tanzania. Alikuwa amewafunika kwa mbali hao wapinzani wakuu kutoka chama cha chadema na tulishuhudia mapovu yakiwatoka, wakilalamikia uteuzi wake kwenye nafasi hiyo. Waliona kuwa mtu huyu atatokomeza ndoto zao za kuchukua dola 2025.

Hivyo kuondolewa kwa Makonda kwenye kazi hiyo, chadema sasa wameshusha pumzi sambamba na wale wanafiki wa ccm waliotajwa na Makonda kwenye hotuba yake kwenye mapokezi ya ile ndege. Ni jambo jema kwake kwani alichokuwa anafanya ilikuwa inahatarisha usalama wake. Ni bora sana kwa usalama wake kwa kupewa hicho cheo cha uRC. Rais kafanya jambo jema kwake. Ni mchapakazi mzuri kwenye kila eneo. Tutegemee uchumi wa mkoa wa Arusha kupaa zaidi. Arusha haitakuwa na kero za wananchi, haitakuwa na mafisadi, wabadhilifu wa fedha za serikali, Arusha itakuwa ni ya Hapa Kazi Tu na kuwa mfano kwa mikoa mingine.

CCM ina watu wengj wenye vipaji vya kila aina. Hivyo wala hakuna wasi wasi wa kupata muenezi wa chama mwenye kiwango kikubwa. Na bado kwenye final match kuelekea uchaguzi wa 2025 ikibidi bado Makonda anaweza kupelekwa front line.
Amevurunda uenezi hata uandike vp.
 
Wewe na wajinga wenzio mnawaona wazungu kama miungu fulani sio?
Acheni shobo,wazungu wamekuja kutalii halafu wewe unaanza kuwaletea upumbavu wenu wa siasa za ccm na chadema!
Wazungu wakiambiwa jamaa ndiye alishiriki kwenye tukio la Antipas, unadhani watakaa kwa amani mahotelini
 
Back
Top Bottom