Kutokana na Maelezo ya Tundu Lissu, Mwalimu Nyerere ndio chanzo cha utawala mbovu unaoendelea Afrika Mashariki

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja.

Nilikuwa natazama kwa umakini YouTube hoja za Lisu wakati alipoalikwa kuongea katika kongamano Moja katika chuo cha Makerere Uganda.

Kutokana na Maelezo yake alimsifia Mwalimu kwa jitihada zake za ukombozi Afrika , kutopenda ufisadi na kujilimbikizia Mali Kisha akaenda kwenye point yake kuu kuwa Mwalimu kapanda mbegu mbaya sana ya utawala mbovu Tanzania na hiyo ikaota mizizi kwa vijana wake wa karibu aliowalea Museveni na Kagame nao wanatumia Misingi ya Mwalimu katika kufanya mabaya katika tawala zao.

Kutokana Maelezo yako amesema Mwalimu kaacha mbegu na Legacy hizi ambazo zinatumiwa vibaya na watala wa Afrika Mashariki.

1. Imperial Presidency (Uraisi Wenye mamlaka kupitia kiasi kama Mfalme ) .
Katiba ilimpa Rais mamlaka makubwa sana: kuwa Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu, na pia uwezo wa kuteua Makamu wa Rais, Mawaziri, na kuvunja Bunge katika mazingira fulani. Sheria kama Preventive Detention Act zilimruhusu Rais kumweka mtu kizuizini bila mashitaka, na marekebisho ya baadaye yakaruhusu pia kuteua wabunge kadhaa, jambo lililoimarisha zaidi urais kuliko Bunge na taasisi huru.

2. Politicization of military ( Siasa kuingia jeshini ; jeshi kufanywa kama Chombo Cha siasa.

Badala ya kuwa taasisi huru ya kitaaluma. Hii ilimaanisha kuwa wanajeshi walichaguliwa na kulelewa kisiasa na CCM, hivyo siasa za chama zikapenya ndani ya jeshi na kuzuia uwezekano wa jeshi kuwa chanzo cha upinzani wa wazi kwa utawala.

Hivyo, jeshi na vyombo vya usalama vikawa sehemu ya uti wa mgongo wa chama na urais, jambo linalolinda utawala uliopo lakini pia linafanya taasisi za usalama zionekane kama chombo cha siasa badala ya chombo cha kitaifa tu.

3. Militarization of Politics : (Hii sijui kuichambua na kuelezea wataalamu nisaidieni) .

Summary : Nguvu ya watawala katika kufanya wanayotaka , kuendesha nchi kibabe , uminywaji wa demokrasia nk katika nchi za Tanzania , Uganda na Rwanda ni matunda ya mbegu aliopanda Mwalimu Nyerere.

#UziTayari
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=QxNCWjJa1GQ
 
Lisu huwa namuelewa sana anapoongea kuhusu madhara ya utawala wa Nyerere ndani ya nchi hii. Kwa mbegu hii aliyopanda Nyerere ni machafuko pekee yatamaliza kabisa laana ya kiutawala aliyoacha Nyerere ndani ya nchi hii. Kwenye hili lazima wengi tutamwaga damu ili kuondoa tambiko hilo.
 
Binafsi nina amini hao wanao itwa team msoga wana nia ya dhati ya kufanya mbadiliko ya katiba. Tofauti na wale wengine.
 
Kwa nini mkuu ?
Kikwete hakusukumwa na mtu kuanzisha mchakato wa katiba katika awamu ya pili, kimsingi alipata ukinzani ndani ya chama na kuulizwa hilo la katiba ametoka nalo wapi? Hilo la kusikiliza wapinzania na kuanzisha mchakato wa katiba kwang ni ishara tosha ya kutanguliza maslah ya taifa dhidi ya chama.

Alipo ingia JPM akasema katiba si priority yake! Na kweli hakufanya kitu! Nani hataki katiba kati ya pande hizo?

Mwisho, Kikwete ndio alie weza unda serikali ya umoja wa kitaifa zanzbar, jambo linalo ashiria alikuwa tayari upinzani kuchukua nchi. Na yapo madai kuwa ule uchaguzi wa 2015 ni kama alikuwa tyari Maalimu Seif atangazwe kama rais wa zanzbar, lakini Hayati mkapa akakataa, na kupanda ndege kwenda Zanzbar na kumuamrisha Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi/uchaguzi ule na kurudia uchaguzi upya!
 
Binafsi nina amini hao wanao itwa team msoga wana nia ya dhati ya kufanya mbadiliko ya katiba. Tofauti na wale wengine.
Labda, je nini kinawashinda hadi sasa? Nina hakika ili iandikwe katiba ya matakwa ya wananchi ni lazima iandikwe baada ya machafuko, kwani kila mtu atajiona yuko kwenye hatari, lakini ikiandikwa katika mazingira ya ccm ikiwa imeshikana na vyombo vya dola lazima itaandikwa katiba itakayoacha malalamiko, huku wakilazimisha wameshaleta katiba mpya. Inshort haitakiwi kuandika katiba kundi moja likiwa na nguvu kuliko mengine.
 
Moja kwa moja.

Nilikuwa natazama kwa umakini YouTube hoja za Lisu wakati alipoalikwa kuongea katika kongamano Moja katika chuo cha Makerere Uganda.

Kutokana na Maelezo yake alimsifia Mwalimu kwa jitihada zake za ukombozi Afrika , kutopenda ufisadi na kujilimbikizia Mali Kisha akaenda kwenye point yake kuu kuwa Mwalimu kapanda mbegu mbaya sana ya utawala mbovu Tanzania na hiyo ikaota mizizi kwa vijana wake wa karibu aliowalea Museveni na Kagame nao wanatumia Misingi ya Mwalimu katika kufanya mabaya katika tawala zao.

Kutokana Maelezo yako amesema Mwalimu kaacha mbegu na Legacy hizi ambazo zinatumiwa vibaya na watala wa Afrika Mashariki.

1. Imperial Presidency (Uraisi Wenye mamlaka kupitia kiasi kama Mfalme ) .
Katiba ilimpa Rais mamlaka makubwa sana: kuwa Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu, na pia uwezo wa kuteua Makamu wa Rais, Mawaziri, na kuvunja Bunge katika mazingira fulani. Sheria kama Preventive Detention Act zilimruhusu Rais kumweka mtu kizuizini bila mashitaka, na marekebisho ya baadaye yakaruhusu pia kuteua wabunge kadhaa, jambo lililoimarisha zaidi urais kuliko Bunge na taasisi huru.

2. Politicization of military ( Siasa kuingia jeshini ; jeshi kufanywa kama Chombo Cha siasa.

Badala ya kuwa taasisi huru ya kitaaluma. Hii ilimaanisha kuwa wanajeshi walichaguliwa na kulelewa kisiasa na CCM, hivyo siasa za chama zikapenya ndani ya jeshi na kuzuia uwezekano wa jeshi kuwa chanzo cha upinzani wa wazi kwa utawala.

Hivyo, jeshi na vyombo vya usalama vikawa sehemu ya uti wa mgongo wa chama na urais, jambo linalolinda utawala uliopo lakini pia linafanya taasisi za usalama zionekane kama chombo cha siasa badala ya chombo cha kitaifa tu.

3. Militarization of Politics : (Hii sijui kuichambua na kuelezea wataalamu nisaidieni) .

Summary : Nguvu ya watawala katika kufanya wanayotaka , kuendesha nchi kibabe , uminywaji wa demokrasia nk katika nchi za Tanzania , Uganda na Rwanda ni matunda ya mbegu aliopanda Mwalimu Nyerere.

#UziTayari
😁😁😁😁 wewe adriz akili zako finyu sana yani Tundu lissu ndiyo mwalimu wako 😁😁😁 Tundu lisu ana akili ndogo sana ...mambo hayo niulize mimi .....Matatizo ya tanzania ya sasa yanatokana na (Mfumo Siasa) wa
1)SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI......huu mfumo Nyerere hausiki nao ulianza zama za mzee MWINYI na ndiyo chanzo cha haya yote ....

KUNA MIFUMO 4 TU YA UJAMAA NA UBEPARI NAYO NI

💥1)SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIJAMAA (Nyerere system)

💥2)SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI (mwinyi mkapa kikwete na samia system)

💥3)SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIJAMAA (huu hatujawai kuutumia )

💥4)SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI (huu mfumo Rais pekee aliye utumia ni JPM)

Leo watanzania tuna fanyiwa STATE CAPTURE kwa sababu ya UBEPARI WA KISERIKALI ....
MFUMO NO 4 NDIYO MFUMO SAHIHI KABISA.
 
Labda, je nini kinawashinda hadi sasa? Nina hakika ili iandikwe katiba ya matakwa ya wananchi ni lazima iandikwe baada ya machafuko, kwani kila mtu atajiona yuko kwenye hatari, lakini ikiandikwa katika mazingira ya ccm ikiwa imeshikana na vyombo vya dola lazima itaandikwa katiba itakayoacha malalamiko, huku wakilazimisha wameshaleta katiba mpya. Inshort haitakiwi kuandika katiba kundi moja likiwa na nguvu kuliko mengine.
Yote yanawezekana Tindo, hivyo waweza kuwa sahihi.

Ila ningetamani tukwepe fujo, fursa tunayo ya kufanya hilo including CCM wanayo option ya kuruhusu true election na bado wakabaki ktk siasa za Tanzania, Mfano wanaweza limit vyama vikawa viwili tu! Hio itakuwa gurantee ya wao kubaki ktk siasa.
 
Ccm hawako tayari kwa katiba ya kweli. Wanajua kabisa ikija katiba ya kweli wao ndio watatolewa madarakani, kwani tayari kizazi hiki kimeichoka. Kama ww ni muumini wa ukweli unaweza kuona ile voters turnout ya juzi ilivyokuwa ndogo. Kiuhalisia ccm zile ndio huwa kura zake, lakini hupora za wapinzani na kusema ni zao. Na vyombo vya dola na tume ndio hulinda na kuwapatia ccm ushindi huo haramu. Na ccm ikipoteza kiti cha urais haitakaa inyanyuke tena na huensa ikawa historia. Rejea KANU ya Kenya.
 
Wizi wa kura si swala la kujadili wala kuwa kipimo cha imani ya mtu, uko wazi sana.

Hata wana CCM wenyewe wanasema wazi, Kikwete kawahi sema jambo linalo ashiria hilo, SSH uchaguzi wa 2020 kasema wazi, Kina NApe juzi etc.

Shida ya huo wizi ni katiba, ndio kifungo kilipo

Ni kweli kuna kuchokwa kwa mengi
 
Moja ya jambo nalo penda kutoka kwa Lissu ni kuyasema madhaifu ya Nyerere waziwazi tofauti na asilimia kubwa ya Watanzania waliojaa unafiki hata humu wapo wengi sana hasa ukiguswa upande mbovu wa Nyerere utawaona wanavyo chachama.

Kimsingi Nyerere ndio mzizi wa utawala wa hovyo hapa nchini tunaopitia kwa sasa.
 
Exactly, kuna namna Nyerere aliishape nchi hii, na wahuni wa chama chake wakapitia humo humo. Na kwa namna alivyoiweka huu umwagaji wa damu ndio ulikuwa njia pekee ya kuumaliza. Sasa ndio safari imeanza, ni juu ya chama chake kusoma alama za nayakati, na kukubali kiroho safi, vingine watabadilishwa kwa lazima, japo ni kwa gharama ya damu zetu.
 
Kikwete hakusukumwa na mtu kuanzisha mchakato wa katiba katika awamu ya pili, kimsingi alipata ukinzani ndani ya chama na kuulizwa hilo la katiba ametoka nalo wapi? Hilo la kusikiliza wapinzania na kuanzisha mchakato wa katiba kwang ni ishara tosha ya kutanguliza maslah ya taifa dhidi ya chama.

Alipo ingia JPM akasema katiba si priority yake! Na kweli hakufanya kitu! Nani hataki katiba kati ya pande hizo?

Mwisho, Kikwete ndio alie weza unda serikali ya umoja wa kitaifa zanzbar, jambo linalo ashiria alikuwa tayari upinzani kuchukua nchi. Na yapo madai kuwa ule uchaguzi wa 2015 ni kama alikuwa tyari Maalimu Seif atangazwe kama rais wa zanzbar, lakini Hayati mkapa akakataa, na kupanda ndege kwenda Zanzbar na kumuamrisha Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi/uchaguzi ule na kurudia uchaguzi upya!
Mkapa hata elfu malim seif alikuwa ameshinda anaanda kutangazwa ghafla mkapa akaenda zanzibar kupindua matokeo alafu ghafla baadae anatuambia anatamani uchaguzi wa haki Tanzania kilikuwa ni kituko cha mwaka
 
Back
Top Bottom