G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,214
- 2,546
Si kweli, Lissu kila siku anasema Rais Magufuli alituma watu kumuua na hakuuelewa utawala wake, ingawa anakiri kuna mambo ambayo Magufuli asingeweza kuyaruhusu kama ambavyo Rais Samia amefanya.MUULIZE LISSU MWENYEWE LEO HII ANAKILI KUWA ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUMPINGA JPM ...LISSU ALIDANGANYWA NA KINA ROSTAM AZIZI NA KIKWETE KWA SABABU WALIMCHUKIA JPM NDIYO MAANA LISSU ALIANZA KUWATETEA MAFISADI YA MADINI
Shida kubwa ambayo tunayo Tanzania kama nchi ni 'Watanzania' wenyewe. Namna yetu ya kufikiri.
Rahisi sana kuwa brainwashed na danganya toto bila kufikiri sawasawa. Kuna mambo huwa yako wazi sana alafu unashangaa mtu anaposhindwa kuona.