Tundu lissu analipia gharama ya usaliti wake kwa taifa na wazalendo na uzalendo...chadema kwa ujumla kiliwasaliti watanzania kipindi tulipo pata Rais mzalendo...wao wakakubali kutumiwa na maadui wa uzalendo kina Rostam na makampuni ya kibeberu yanayo tuibia rasilimali zetu dhidi ya JPMHapo ndio mageuzi ya nchi yanapokuwa magumu!
Kifupi mna mchosha Tundu Lissu bure
Sawa Mkuu, hebu tusubiri nini kitatokea, lakini naona CCM imepata pressure ya kutosha kwa sasa hivi, mpira wa mabadiliko ya kisiasa Tanzania uko mikononi mwao, uamuzi wao baada hili unaweza kuwa wa kihistoria (+/-) Nitavuta subira Mkuu.Shida ya msingi si asilimia ndugu yangu, asimilia 98 ingweza patikana hata kama wangepiga kura watu 50 tu.
Shida hapa ni wizi wa kura, na matokea ya uchaguzi ku-hodhiwa na tume, kifupi tume ndio inatuchagulia Rais si kura. Na hili hakuna mwana CCM hajalisemawazi, kuanzia Mwl Nyerere hadi rais wa sasa, wote ktk nyakati tofauti wamesema jambo linalo ashiria hilo au kulisema waziwazi.
Kuhusu Lissu, mimi naamini Lissu hajakaa ndani kwa kuogopa ushindani, Lissu amekaa ndani kwasabau za ki-usalama baada ya kutoa kauli ya tutakinukisha. Speech yake ilikuwa na clear threat kwa serikali na uchaguzi uliopita. Kwa katiba ya sasa huwezi ogopa ushindani.
Siasa za nchi hii ngumu sana.Tundu lissu analipia gharama ya usaliti wake kwa taifa na wazalendo na uzalendo...chadema kwa ujumla kiliwasaliti watanzania kipindi tulipo pata Rais mzalendo...wao wakakubali kutumiwa na maadui wa uzalendo kina Rostam na makampuni ya k9beberu yanayo tuibia rasilimali zetu dhidi ya JPM
Hata akiwa ikulu! Madaraka yanalevya mkuu, mbon akuna ushahidi wa Kihistoria nchi nyingi tu! Rais kuwageuka wenzio na kuwalimaliza, orodha ni ndefu....Tanzania ni tofauti na nchi nyingine?Ataanza wazimu akiwa ikulu au kabla?
Nimemkumbuka Joseph Stalin......Ataanza wazimu akiwa ikulu au kabla?
JPM ambaye samia anatumia playbook yakeNyerere hakuwa na nia mbaya na taifa ...nilisha towaga elimu hapa JF kuhusu kukwama kwa siasa za nyerere kiuchumi na ukisoma post yangu ya kwanza niliyo mjibu adriz utaona hiyo mifumo minne niliyo onyesha nyerere alikosea kwa kufuata mfumo wa
1)SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIJAMAA (huu mfumo ni mbaya ila hauna sana stress, ila una sababisha taifa kuwa goi goi na slow lisilo na ushindani wa kimaendrleo ndani yake ...watu wote wanakuwa na mtindo wa maisha kama wa wazaramu ...wanakuwa awana haja ya haraka ya maendeleo)
mfumo tuliopo sasa ni mbaya na muovu kuliko ule wa nyerere nao ni
2)SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI (huu mfumo unafanya serikali kuwa mali ya kikundi kidogo kwa maslai yao binafsi na familia zao na mara zote mfumo huu unachukia siasa za UZALENDO NA WAZALENDO ....mfumo huu umeanza kutumika na Rais Mwinyi na baadae Mkapa na baadae Kikwete na sasa Samia ....ni mfumo wa hatari sana wenye ufisadi mbaya sana ..
Mfumo sahihi uliopaswa kufuatwa ni huu wa
3)SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI (Mfumo huu rais pekee aliye ufuata ni JPM )
Kati ya katiba na haki unachagua nini? Nadhani wewe ndiyo wale wanaodhani katiba ndiyo haki au sheria ndiyo haki ...tatizo lako ni uanithi wa akili ....kanuni ya akili ni hii kiongozi mzuri na mzalendo ni yule ambaye yupo tayari kuvunja sheria au katiba kwa ajili ya HAKIJPM ambaye samia anatumia playbook yake
Mimi mtu anayemsifia magufuli ilihali utawala wake ulikuwa unasigina katiba waziwazi anakuaje role model wa utawala bora ni ajabu sana
Magufuli sio mzalendo na sio mtu wa hakiKati ya katiba na haki unachagua nini? Nadhani wewe ndiyo wale wanaodhani katiba ndiyo haki au sheria ndiyo haki ...tatizo lako ni uanithi wa akili ....kanuni ya akili ni hii kiongozi mzuri na mzalendo ni yule ambaye yupo tayari kuvunja sheria au katiba kwa ajili ya HAKI
Wewe akili yako imebaki kwenye kusuka mikeka ya betting tu.Tunatumia saikolojia kutambua akili na nia za watu ..hasa waislamu wanapenda sana kumdunisha nyerere kana kwamba wao wangekuwa viongozi nchi ingekuwa tukufu sana kumbe wao ndiyo wahalibifu kamili na walio dhahili kabisa kwa vitendo vyao na nia zao mbovu na dhalimu
Waislamu na wakristo amjui hata mtume ni nini?Wewe akili yako imebaki kwenye kusuka mikeka ya betting tu.
MUULIZE LISSU MWENYEWE LEO HII ANAKILI KUWA ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUMPINGA JPM ...LISSU ALIDANGANYWA NA KINA ROSTAM AZIZI NA KIKWETE KWA SABABU WALIMCHUKIA JPM NDIYO MAANA LISSU ALIANZA KUWATETEA MAFISADI YA MADINIMagufuli sio mzalendo na sio mtu wa haki
Mtu anapigwa Risasi maeneo ya serikali na bado hakaona haitoshi na ubunge kamvua kibabe
Assad alimwambia kuna ufisadi matokeo yake kamuondoa kinyume na katiba kweli mzalendo anaweza fanya hivi
Kama huamini kwenye katiba ni wazi unasafari ndefu sana kifikra JPM alikuwa dikteta na muuaji asiye na huruma hata chembe
Danganye wajinga onyesha video lissu akisema hayo unayoyasemaMUULIZE LISSU MWENYEWE LEO HII ANAKILI KUWA ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUMPINGA JPM ...LISSU ALIDANGANYWA NA KINA ROSTAM AZIZI NA KIKWETE KWA SABABU WALIMCHUKIA JPM NDIYO MAANA LISSU
Danganye hao wajingaMUULIZE LISSU MWENYEWE LEO HII ANAKILI KUWA ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUMPINGA JPM ...LISSU ALIDANGANYWA NA KINA ROSTAM AZIZI NA KIKWETE KWA SABABU WALIMCHUKIA JPM NDIYO MAANA LISSU ALIANZA KUWATETEA MAFISADI YA MADINI
Wewe baba yako aliuza ng'ombe wake kuku somesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.Danganye wajinga onyesha video lissu akisema hayo unayoyasema
yaani kusema aseme polepole alafu uje usema lissu ndo kasema acha uongo