Tatizo kubwa ni uelewa kuna watu hawaelewi kuwa Jeshi la zimamoto ndio Jeshi lenye Askari wachache Tanzania kuliko vikosi vyote na ndio pia kitengo chenye vitendea kazi vichache pia kingine ni Jeshi lililoanzishwa hivi karibuni ilipaswa tuwe na Askari wakutosha na magari ya kutosha,Suala la Moto siyo lele mama kabisa.ambaye ashawahi shuhudia au jaribu kuona situation inavyokuwa na vifaa vya Askari wetu hawezi laumu. Tujikite kwnye hoja na siyo kukosoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.