Nchi zote ambazo kwao usalama ni kidogo na maisha ni magumu watu wake wanapambana kutoka,Warundi wajanjawanjana wale wanatuzidi kwa mbali sana wanapiga vizuri French wanapiga kiingereza wanapiga icho kiswahili chenu
Labda msumbiji ila warundi hpn aisee hao wameshaenea sana huko duniani labda kwa kuwa kwao hakukalikiLevel zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
Ni meishi na warundi nje ya nchi ila nacho jua Warundi ni waminifu asanaa kwenye biashara na watu wanao asema ukweli wana bidii saana kwenye kazi na wana heshima sanaa kwa wakuu wao......hivyo vitu vyote ni adimu kwa mbongo, mtanzania halisi hawezi kunyooshwa maelezo wanapenda saana dubious bussiness.Labda msumbiji ila warundi hpn aisee hao wameshaenea sana huko duniani labda kwa kuwa kwao hakukaliki
Unalo sema ni kweli tuanzishe kampuni, ila akili za mbongo ni mtu wa kuridhika haraka na mtu wa showoff sanaa, watumishi wengi dreams zao ni gari na nyumba tu.....hatuwezi kufikiria beyond ya hayo.Huu ni ukweli mchungu kiingereza ni changamoto kubwa hasa kwa vijana waliosoma shule za serekali wanaotoka chuo tu. Mimi nakumbuka nilifeli interview ya pili ya PWC ya oral na kilichonifelisha hasa naliona ni kiingereza. Walikuwa wana program yao ya kuchukua candidates vyuoni.
Mimi najitafuta ila mwanagu kama hatasoma IST basi atasoma shule the likes ya hiyo. Lugha ya malkia inaonekana kuwa muhimu sana kwenye hili soko la mkoloni. Ukiongelea uwezo wa kufikiri mitaala yao inaonekana inapambanua vizuri hilo kuliko ya kwetu.
Lastly tukumbuke kutengeneza vikampuni vyetu tukiwa tumeajiriwa kikienda vizuri kikakupa mara tatu ya mshahara wako kwa miezi kadhaa, unapiga kazi chini unakisimamia kwa umakini zaidi full time, tuige model za wahindi mpaka mzee ukiishiwa nguvu mwanao anaendeleza u MD.
Hao watoto wako unawafundisha ujinga tu.Ni kweli Kiswahili ni ujinga uliotukuka.Tunaouza vitabu Amazon na Lulu ni mashaidi.Koswahili kinaweza kukuua njaa.Ndio maana nakomaa na wanangu wasipite nilimopita.
uko sahihi mkuu. haya mambo huwezi kuyaelewa adi yakukuteNi kweli Kiswahili ni ujinga uliotukuka.Tunaouza vitabu Amazon na Lulu ni mashaidi.Koswahili kinaweza kukuua njaa.Ndio maana nakomaa na wanangu wasipite nilimopita.
Kama wewe ulivyo mjinga.Hao watoto wako unawafundisha ujinga tu.
Huyo anaishi mwaka 1985.
Kuna kipengele wameanzisha Amazon kinaitwa Kindlevella (Kama sijakosea spelling)Unasimulia habari yoyote hata hadithi kwa vipande vipande kama tunavyofanya hapa Jf views wanaofuatilia ndio wanakuingizia Dollars unalipwa Ela nzuri tu.Shida hapo ni Lugha tu ni kiingereza tu.uko sahihi mkuu. haya mambo huwezi kuyaelewa adi yakukute
biashara sio ya kila mtu shehe.Huyo anaishi mwaka 1985.
Badala awaze kutengeneza ajira. Ye ye anawaza kuajiriwa.
Na kama hao waajiri anao wataja wanahitaji watu wanao jua kiingereza kwanini wasiende zao Uingereza moja kwa moja kwa watu ambao ndio lugha Yao kabisa waje kwako we were ambae umefanya kujifunza?
Kwa hii picha sitajilinganisha tena na wakenya🙌🙌Umesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenya , level zetu sisi ni Uganda.
View attachment 3384079
🙁Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
🤔🤔NGOJA NA MIMI NIJARIBUUmesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenya , level zetu sisi ni Uganda.
View attachment 3384079