Naunga mkono hojaLazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji kuchangamana zaidi na watu wa dunia nyingine huko nje za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wakorea, Warudi, Waturuki na wengineo ili kujipatia maarifa mbalimbali.
Kutokujua lugha kubwa kimataifa za Kingereza na Kifaransa zinatufanya kubaki kwenye chungu na mitazamo duni, hafifu na midogo sana kuhusu Dunia kwa upana wake na mambo mbalimbali.
Waislamu japo wanajifunza Kiarabu ila ni kwa ajili ya kusomea Quran na dini tu kwa hiyo haiwasaidii chochote.
Mkuu,Upo sahihi Boss
Baada ya kupata aibu kwenye mualiko flani hv wa watasha muda wote nipo kimya na wadau wanajua hii sio kawaida yangu sikuwa na confidence kabisa kwa sasa Nipo kwenye vita kali na hii lugha mpaka kieleweke thanks chatgpt.
English yangu 7/10 nataka niwe 10/10. hapa nazunguzia kwenye kuongea infact Kujua kimombo muhimu sana aisee kwa kazi zangu.
Kwanini hamkuongea kishwahili kwa vonfidence hapo 5 star hotelMkuu,
Katika picha ya juu,watanzania tunaonekana kama tuna tatizo kubwa la kiingereza na tunashindwa kupresent kwenye international platforms kwa sababu ya language barrier.
Ila deep down tatizo letu kubwa siyo kiingereza...Ni confidence.
Mbongo Hana confidence kwenye majukwaa ya kimataifa.
Hata hapa kwetu akija mgeni tunamu-overrate sana hasa akiwa anajua kiingereza. Anakuwa superior kwetu.
Nakupa mfano...
Siku Moja tulitoka na kampuni tukaenda kula bata kwenye 5 star hotel Pale DSM. Tuna kampuni tanzu Nairobi ,Kenya. Kuna wafanyakazi kadhaa walikuja kuwakilisha wenzao,walikuwa wanne.
Imagine,katika idadi yao ya watu wanne waliiteka show yenye watz zaidi ya 30!!!
Yani mbele ya wakenya waswahili wenzetu tunakuwa wanyonge kama tumemwagiwa maji!!
Angalau English medium za sasa mbali na kufundisha kiingereza, wanawafundisha watoto swala Zima la confidence mbele za watu.
Watoto wa sasa hivi ukiongea nao ni kama unaongea na mtu mzima mwenzio.
Kwa hiyo mkuu Fanyia kazi kwanza kazi swala Zima la confidence maana umesema lugha tayari unajua 7/10. Hapo ulipofika si haba.
Hata ukijua 10/10 kama huwezi kuongea mbele za watu,siku wakikupa maiki kiingereza chote kitapotea ukigongana na macho ya watu.
Mkuu,

Sidhani kama ni sababu. Kuna wamarekani wengi wajinga wajinga hasa wafuasi wa republican ukiwasikia utashangaa.Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji kuchangamana zaidi na watu wa dunia nyingine huko nje za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wakorea, Warudi, Waturuki na wengineo ili kujipatia maarifa mbalimbali kupitia historia kuu na filiosofia mbalimbali za maisha katika tamaduni za kale zilizokomaa (ancient cultures)
Kutokujua lugha kubwa kimataifa za Kingereza na Kifaransa zinatufanya kubaki kwenye chungu na mitazamo duni, uono hafifu na mdogo sana kuhusu Dunia kwa upana wake na mambo mbalimbali.
Waislamu japo wanajifunza Kiarabu ila ni kwa ajili ya kusomea Quran na dini tu kwa hiyo haiwasaidii chochote.
Naomba kufahamu nitajifunza vipi kiingereza kupitia chatgpt?Upo sahihi Boss
Baada ya kupata aibu kwenye mualiko flani hv wa watasha muda wote nipo kimya na wadau wanajua hii sio kawaida yangu sikuwa na confidence kabisa kwa sasa Nipo kwenye vita kali na hii lugha mpaka kieleweke thanks chatgpt.
English yangu 7/10 nataka niwe 10/10. hapa nazunguzia kwenye kuongea infact Kujua kimombo muhimu sana aisee kwa kazi zangu.
Live talkNaomba kufahamu nitajifunza vipi kiingereza kupitia chatgpt?
Weka hint kidogo wengi tunauhitaji na hii kitu
huu mnyoosho una lake jambo !!! Sio bure.Leo mpaka tunyooke
Nitajaribu aiseeLive talk
Upo sahihi bossMkuu,