Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

Naomba kufahamu nitajifunza vipi kiingereza kupitia chatgpt?

Weka hint kidogo wengi tunauhitaji na hii kitu
Kuna live talk unaongea na leneyewe linajibu hapo utajifunza uwezo wako wa sikia lugha na kurepond pia unaokoa muda sio kama kutype text pia unaliamboa nataka niwe Fluent in English mnakuwa mnasoma ukizingua linakurekesbisha litakufundisha kila kitu kuanzia Grammer, tenses hadi kuunda complete sentence yahn dunia imekuwa nyepesi sana kwenye kujifunza mambo map mapya kupitia haya maroboti.
 
Kikubwa watu waishi , utaendelea kujifananisha na wengine mpaka unakufa .Bora kuboresha maisha yako binafsi .
 
Hesabu & Sayansi ndio kila kitu
kingereza hakijengi barabara, hakiwezi kutengeneza funicher, au kutengeneza engine ya gari, au kutibu watu hospital, au hata kupika chakula. Hivi unajua kila unachofanya kinategemea Hesabu +Sayansi?

Ningekuwa na nafasi mitaala yote kuanzia msingi ingekuwa ya Hesabu na Sayansi na kuajiri waalimu takriban 30,000 - 50,000 wa hesabu na sayansi kuanzia shule za msingi. BAADA YA MIAKA 10 MNGENIKUMBUKA KAMA WACHINA WANAVYO MKUMBUKA "DENG XIAOPING". Waalimu wenye sifa ndio kila kitu katka Hesabu & sayansi, vingine baadae...
 
Nilikuwa nafikiri unajua tungekuwa na uchumi mkubwa kama china tukawa na strong technological and manufacturing capability ingesaidia pia lugha yetu ya kiswahili kuwa widespread kuliko hivi sasa na tusingelazimika kukumbatia sana lugha nyingine, in short kwa kuwa sisi bado ni nchi maskini na ombaomba ni muhimu sana kujua lugha za mataifa mengine hasa hasa kiingereza kwani bado hatujitoshelezi kwa mambo mengi hivyo kujua hizi lugha kutatupa advantage fulani hivi, kwa hiyo ni kweli ni muhimu kuzijua ili tuielewe dunia na mambo yake kwa upana zaidi
 
Ni kweli mkuu mimi nimefanya kazi na Wakenya wana confidence na wanajua kuchangamkia fursa sana.
Wale jamaa wametupiga bao kwenye swala Zima la kujiamini.

Unakuta mbongo anaweza kufanya kitu sahihi kabisa,akija mkenya na kuanza ku-question kile anachofanya mbongo,badala ya kumpa majibu yanayoeleeweka na kwanini anafanya hivyo anajikuta anaona "asee kweli hapa nimekosea" ukimuuliza umekosea wapi hajui. Kumbe alikuwa sahihi tu ila amekosa confidence katika kuwasililisha hoja yake au kile anachokofanya.

Mwangalie Sammata...Kuna wabongo wangapi Wana vipaji kama yeye au pengine kumzidi? Ila pale alipo hnagundua jamaa Hana spirit za wabongo za kukuona wakawaida.

Amejitofsutisha na wabongo wengi. Ana confidence.

Confidence inafungua milango mingi sana kwa mtu.
 
Tafuta mahali upewe kinywani na bite unayotaka Kisha nitumie bill nilipe!!!
Watz!wengi wanakichukia kiingereza!! Sijui kwann!? Yan mtu anaogopa na mkuchukia hata mzungumzaji!??
 
Tafuta mahali upewe kinywani na bite unayotaka Kisha nitumie bill nilipe!!!
Watz!wengi wanakichukia kiingereza!! Sijui kwann!? Yan mtu anaogopa na mkuchukia hata mzungumzaji!??
 
Usiombe uwe kwenye panel ya usail wa mashirika ya kimataifa!! Utamhurumia mtanzania!! Kweli utashangaa
 

Kabisa lakini nchi yetu haitaki watu wawe na confidence kabisa.
 
Sasa hivi si Kiingereza tu, watu wengi Kiingereza hawajui na Kiswahili pia hawajui.
 
Naomba kufahamu nitajifunza vipi kiingereza kupitia chatgpt?

Weka hint kidogo wengi tunauhitaji na hii kitu
Chukua hii caption ka- paste pale atakufunza kila kitu.

Become my conversation partner for practicing English language start with beginner level conversation and gradually increase difficult as I improve. Correct every mistake I make, explain why it's wrong, show me how native would say it, then continue the conversation.

Ila hii Kaka haitokusadia Siri ya kujua kingereza ni kusoma vitabu kwa wingi na makala za kingereza then weka practice ya kuongea hapo ndiyo utakua vinginevyo utasoma hizo ZA ChatGPT utaishia kukata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…