Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

Hizo sayansi bila lugha ya kingereza haziendi, kwa sababu zote hizo ni zinatoka nje huko.
 
Maelezo yako hayatofautiani sana na mawazo yangu, hivyo nakubaliana na wewe kwa mengi. Labda ungekuwa clear zaidi.... tatizo la Tanzania ni elimu sahihi. Elimu sahihi = confidence + kujua lugha ya kiingereza na pia kuwa well informed na mambo mbalimbali bila kusahau kustaarabika. Kukosa elimu sahihi ndiyo kumeleta haya madhara mengine yote tunayobishania. Unajua Tanzania ni kama tulichepuka, tukaunda mfumo wetu wa elimu na kudharau kanuni zote zinazoendana na utoaji elimu. Matokeo yake wahitimu wengi wamekuwa ni watu wasiojiamini, malimbukeni wa kufanya mambo kwa kukariri. Yes, english ni tatizo lakini ni matokeo ya elimu. Ukitaka kujua elimu sahihi ndiyo tatizo, hata ukimwambia mhitimu wa chuo kikuu aandike makala nzuri kwa kiswahili wengi hawawezi. Sana sana anarudia kukariri phraces ambazo wengi wanadhani usipozisema utaonekana kama mshamba. eg ''Mimi kama mimi''
 
Shukrani sana mkuu!

Hii nayo nitaizingatia
 
Kila nikifika kwenye kikundi cha watu na kusema, "it is what it is!", kwa confidence basi watamu wanaanza kusema ninajua sana kutema yai kumbe hamna kitu.

Wabongo unawateka tu kirahisi aisee!
 
Tatizo la watanzania sio kutokujua kiingereza ni HOFU iliyojaa ujinga.
 
Hizo sayansi bila lugha ya kingereza haziendi, kwa sababu zote hizo ni zinatoka nje huko.
Wala sio kweli, ukipata A ya hesabu darasa la sita na la saba shule za kayumba ukijiunga sekondari form one, ukiwa mgeni kabisa wa kiingereza Hesabu unapata A.
Hesabu/Physics/ chemistry vinatumia kiingereza kidogo na ndio sababu watu wa sayansi wana ambiwa hawajui kiingereza; Pamoja na kuwa wenyewe ndio Engine ya uchumi duniani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…