MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Wewe Mimi nilikuwepo mkapa Ni half JPM alileta Kodi ya kichwa na Kodi za baiskeli na kuitekeleza Ile Sheria ya uzembe na uzurulaji ili akusanye Kodi alipe Deni aliloliacha mwinyi ambalo lilifikia pabaya na kumbuka watu walikimbilia vijijini kulima mjini palikuwa pachungu kama una Kazi na sera ya ubinafsishaji ilisaidia kukusanya Kodi hivyo mkapa Ni HALF JPM.Kwa mfano tulikuwepo wakati Mkapa anapokea nchi toka kwa Mwinyi tulimuona kuna mambo makubwa sana kayabadilisha kwenye utumishi wa Umma kama ambayo Mwinyi alivyobadilisha mambo mengi sana kwenye uchumi au Mkapa ambaye alileta nidhamu ya ukusanyaji fedha za umma kwa kuunda TRA.
Hakuna anayekataa Magufuli kufanya watanzania kufanya mambo mengi wenyewe. Ila na wenzie walifanya hivyo pia.Kimsingi magufuli alitaka watanzania wafanye mambo mengi wenyewe ili kujikomboa kuwa tegemezi wa ujuzi ndio maana alikuwa anasisitiza kufanya Kazi na miladi mingi ilijaa wazawa na akawa anawaandaa watanzania kujitegemea.
Ubora wake unaupata kwenye nini??Wannaomponda magufuli huwa siwaelewi kabisa mm nimeshuhudia vizuri utawala wa mwinyi na nlianza kupiga kura yangu kipindi cha pili cha mkapa. Kipindi cha nyerere pia nlikishuhudia japo sikuwa na akili ya kuelewa vitu. Kwangu mm magu alikuwa bora kuliko wote
Aisee!!Wewe Mimi nilikuwepo mkapa Ni half JPM alileta Kodi ya kichwa na Kodi za baiskeli na kuitekeleza Ile Sheria ya uzembe na uzurulaji ili akusanye Kodi alipe Deni aliloliacha mwinyi ambalo lilifikia pabaya na kumbuka watu walikimbilia vijijini kulima mjini palikuwa pachungu kama una Kazi na sera ya ubinafsishaji ilisaidia kukusanya Kodi hivyo mkapa Ni HALF JPM.
Why haukujengwa hebu msijiondoe ufaham banaKaacha madeni makubwa vile vile na kuvuruga mfumo wa Hifadhi ya jamii. Miradi mingi aliiacha haijakamilika na inakamilishwa sasa. Kwa ivo ukiweka mradi kumbuka weka uliokamilika.
Ubungo interchange ulianza kutekelezwa tangu zama ya Kikwete na ndiyo maana zile nyumba za Ubungo zilibomolewa wakati Kikwete akiwa Rais.
Mkapa ndiye aliyewafumua mashekh pale mwembe chai Kwa Sababu za hovyo kama JPM alivyowafumua wale waliokuwa magaidi kule pwani wakaua Askari polisi 11 na wajinga kama zitto na lissu wakawatetea hivyo mkapa na JPM Ni wale wale tofauti Yao Ni ndogo ndio maana mkapa alimkubali sana JPM.Aisee!!
Aliyekusimulia amekupotosha sana.
Kwani nyumba za ubungo Kimara zimebomolewa mwaka gani?? Na jee zilibomolewa ili kifanyike nini kama siyo kujengwa kwa barabara??Why haukujengwa hebu msijiondoe ufaham bana
Nilikuwepo baiskeli ya baba ilikamatwa akalipa 500.Aisee!!
Aliyekusimulia amekupotosha sana.
Magufuli ndiyo alikuwa anamkubali Mkapa na siyo Mkapa alikuwa anamkubali sana Magufuli.ndio maana mkapa alimkubali sana JPM.
Kwani Mladi WA JNHP na kuhamia dodoma ulipangwa au kuandaliwa Kwa kipindi gani huko nyuma lakini mwamba Mzee Wa matokeo amefanya Kwa vitendo hivyo ATA huo unaosema inaweza kuwa kweli ulikuwa kwenye mipango Ila aliyeufanya ukawa ni Nani?.Kwani nyumba za ubungo Kimara zimebomolewa mwaka gani?? Na jee zilibomolewa ili kifanyike nini kama siyo kujengwa kwa barabara??
Hivi unajua thamani ya shilingi 500 wakati Mkapa akiwa Rais? Yaani Baiskeli iliyokuwa inauzwaa kwa shilingi 5000 - 7000 ndiyo kodi yake iwe shilingi 500?Nilikuwepo baiskeli ya baba ilikamatwa akalipa 500.
Aliyempa nafasi ya kugombea ni Nani fuatilia hotuba ya JPM akiwa lupaso masasi alisimuliwa alivyoibuliwa na Ben .Magufuli ndiyo alikuwa anamkubali Mkapa na siyo Mkapa alikuwa anamkubali sana Magufuli.
Alifuta Kodi ya kichwa akaanzisha hiyo.Hivi unajua thamani ya shilingi 500 wakati Mkapa akiwa Rais? Yaani Baiskeli iliyokuwa inauzwaa kwa shilingi 5000 - 7000 ndiyo kodi yake iwe shilingi 500?
Mambo ya Kodi ya Kichwa na baiskeli yalikomeshwa enzi Mkapa akiwa Rais ila wewe unasema yeye ndiye aliyeleta kodi hizo!!
Inawezekana nachanganya kiwango lakini ilikuwepo Kwa kuwa enzi hizo gari zilikuwa chache nyingi zilikuwa baiskeli .Hivi unajua thamani ya shilingi 500 wakati Mkapa akiwa Rais? Yaani Baiskeli iliyokuwa inauzwaa kwa shilingi 5000 - 7000 ndiyo kodi yake iwe shilingi 500?
Mambo ya Kodi ya Kichwa na baiskeli yalikomeshwa enzi Mkapa akiwa Rais ila wewe unasema yeye ndiye aliyeleta kodi hizo!!
Kwahiyo hapa ndio umejibu nilichokuuliza mkuu?Kwa mfano tulikuwepo wakati Mkapa anapokea nchi toka kwa Mwinyi tulimuona kuna mambo makubwa sana kayabadilisha kwenye utumishi wa Umma kama ambayo Mwinyi alivyobadilisha mambo mengi sana kwenye uchumi au Mkapa ambaye alileta nidhamu ya ukusanyaji fedha za umma kwa kuunda TRA.
Labda hujaipenda tu njia niliyotumia. Ila Jibu ndiyo hilo.Kwahiyo hapa ndio umejibu nilichokuuliza mkuu?
Baba wa uchumi kivipi??• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi
Dah we Mzee......Kuaminika na Binadamu mwenzako siyo jambo dogo
Sasa hapo Chadema wote hamuaminiani ndio sababu Mnyika alijiamulia kusaini fomu za akina Halima Mdee hakutaka ujinga!