MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Wewe Mimi nilikuwepo mkapa Ni half JPM alileta Kodi ya kichwa na Kodi za baiskeli na kuitekeleza Ile Sheria ya uzembe na uzurulaji ili akusanye Kodi alipe Deni aliloliacha mwinyi ambalo lilifikia pabaya na kumbuka watu walikimbilia vijijini kulima mjini palikuwa pachungu kama una Kazi na sera ya ubinafsishaji ilisaidia kukusanya Kodi hivyo mkapa Ni HALF JPM.Kwa mfano tulikuwepo wakati Mkapa anapokea nchi toka kwa Mwinyi tulimuona kuna mambo makubwa sana kayabadilisha kwenye utumishi wa Umma kama ambayo Mwinyi alivyobadilisha mambo mengi sana kwenye uchumi au Mkapa ambaye alileta nidhamu ya ukusanyaji fedha za umma kwa kuunda TRA.