Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Na bado,Bila ya kuwa na ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania si chochote Duniani..
Hata kama mnaringia hizo rasilimali,mkitengwa hizo rasilimali mtamuuzia Nani?
Mimi naweza kukuoa na kulisha ukoo wako woteDada wahi kwa jobu,kuna nafasi 19 viti maalumuu upate ahueni ya maisha
Unafikiri bila Amsterdam Lissu angeruhusiwa hata kuingia nchini na kugombea uraisi?Huyo amsterdam nae ni mzinguzi tuu,alikuwa anaingilia mambo ya kampeni wakati usio sahihi hadi kujenga taswira mbaya kwa mgombea wa upinzani
Kabisa mkuu! Lissu ni rais wako yupo Ikulu ana panga mipango ya maendeleoPamoja na kuwa umeandika kikejeli. Ila huo ndo ukweli wenyewe
Kwanza huwezi wapenda viongozi wote kwa wakati mmoja, iwe ni viongozi wa ccm au upinzani. Ila kiongozi wa juu kabisa (Rais) hutazamwa zaidi. Jiwe alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa ila ubabe na ushamba +Bashite vimemwaribia sana. Jk alichukiwa sana lakini not to that extent na katika utawala wake hakuwahi kuombewa mabaya au mauti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wakati upi wewe umewahi kuwapenda viongozi wa CCM?
Eti hapendwi na wengi, hao wengi ndio Waliopuuza maandamano ya huyo anayependwa na wengi siyo?
Mmeshaigizwa boksi nyie,huyo nguli jiwe wenyu keshawaponza kwa hasira na kiburi alonalo......mabeberu tutawalamba raslimali hadi basi, ni heri mgebakia tu na utii wa sheria za chaguzi, haki na amani.....ngoja tuje kuwakomboa upinzani na raia wanaonyanyaswa...mtatamani hamgekua na rasilimali hizo zote.Bado mnajifariji tu hata baada ya kipigo na chama lenu kusambaratika?
Mnajitia jeuri, soon mtanyoosha maelezo tu.!!!Naona mmeanzisha uzi wa kujifariji! Hivi TL wenu si yupo ubelgiji kaunganeni nae huko sisi ni Nchi huru!.Hivi kwa akili zenu mnategemea hao mabeberu wenu watawasaidia? ,kutokuudhuria kwao si kitu kwetu!.Haizui sisi kuendelea na mambo yetu!.
Vuta kumbukumbu sawasawaKwanza huwezi wapenda viongozi wote kwa wakati mmoja, iwe ni viongozi wa ccm au upinzani. Ila kiongozi wa juu kabisa (Rais) hutazamwa zaidi. Jiwe alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa ila ubabe na ushamba +Bashite vimemwaribia sana. Jk alichukiwa sana lakini not to that extent na katika utawala wake hakuwahi kuombewa mabaya au mauti.
Mnajitia jeuri, soon mtanyoosha maelezo tu.!!!
Democratic hawanaga masikhara walitakaga hadi kumpiga sanctions Saudi Arabia kwa mauaji ya Jamal Kashoghi pamoja na Saudia kuwa mnunuzi mkuu wa silaha kutoka Marekani. Yaaani Democrat wameingia madarakani kipindi kizuri sana.Hamna namna nikunyooshwa mrejee kwenye njia ya demokrasia, inapendeza Marekani sasa ilivyo chini ya Democrat Biden, hizo miradi za sgr sijui stiegler na mengineyo ndio keshakauka hivyo labda ziwe mali ya wachina huku mkila kipodo cha mbwa mwitu kwasababu ya mtu mmoja mjeuri.
Wewe ukimuombea ndio inakuwaje?Kwanza huwezi wapenda viongozi wote kwa wakati mmoja, iwe ni viongozi wa ccm au upinzani. Ila kiongozi wa juu kabisa (Rais) hutazamwa zaidi. Jiwe alikuwa na nafasi ya kuwa Rais bora kabisa ila ubabe na ushamba +Bashite vimemwaribia sana. Jk alichukiwa sana lakini not to that extent na katika utawala wake hakuwahi kuombewa mabaya au mauti.
Kwa nini hilo baraza anatangaza kidogokidogo?Kabudi kapelekwa mambo ya nje na mpango fedha. Wameteuliwa alfajili [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππTumeshafikia uchumi wa kati, na wale wapinzani waliokua wanarudisha nyuma maendeleo ya Tanzania wote wamefukuzwa Bungeni, tutegemee maendeleo makubwa zaidi, na Arusha kuizidi Califonia ndani ya miaka miwili, after all hata hao wazungu wakiweka vikwazo bado tuna marafiki zetu hasa Burundi, Zimbabwe na Uganda, CCM hoyeeeee, ushindi asilimia 99.9 sisi ni donor country
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una hasira sana!Mmeshaigizwa boksi nyie,huyo nguli jiwe wenyu keshawaponza kwa hasira na kiburi alonalo......mabeberu tutawalamba raslimali hadi basi, ni heri mgebakia tu na utii wa sheria za chaguzi, haki na amani.....ngoja tuje kuwakomboa upinzani na raia wanaonyanyaswa...mtatamani hamgekua na rasilimali hizo zote.
kalb hayawam.